Daud omar
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 2,458
- 988
Hilo swali la chama halijanishangaza,kilichonishangaza ni wewe kuwanyima wenzio uhuru wa kutongozana!!
Walikuwa wanasaidiana kutongoza, si unajua ummoja ni nguvu
Hilo swali la chama halijanishangaza,kilichonishangaza ni wewe kuwanyima wenzio uhuru wa kutongozana!!
Kama ni man u unajipanga kabisa kuikabili ndoa!!Haa yan umeshangaa chama? Watu wanaulizana hadi timu za mpira eboh !!
njoo irefusheee mxiuuuu!!!Una akili fupi mnoo...jaribu kuirefusha
Mwambie bibie tumemsoma....na gwanda tutamtumia!Hii imemtokea rafiki yangu kipenzi, Jana aliniomba nimsindikize Lenana Hotel jioni akisema kuwa kuna binti kampenda sana sasa anataka amweleze intention yake ya kumuoa, mimi nikamsindikiza, kufika Lenana Hotel baada ya dakika kama 20 binti akafika, ukimwangalia kwa haraka haraka atakuwa na umri wa miaka 21-25 hivi, basi, tukasalimiana pale, mazungumzo ya kuchumbiana yakaanza, kilichonistua zaidi ni hili, katika kuulizana maswali ya hapa na pale mfano, unafanya kazi gani, umri wako, kwenu mpo wangapi, wazazi wako wapo, unasali dhehebu gani, nk. ndipo yule binti akauliza wewe ni chama gani? duuu!! ikabidi nimuwahi kwa kumuuliza swali, chama una maana gani? akasema, Chama cha siasa, Bahati nzuri yule rafiki yangu akasema hana chama ila ni mshabiki wa vyama tu! binti akasema yeye alitaka kufahamu tu!!
Sasa nauliza, hivi siku hizi mkichumbiana ni lazima hili swali umuulize mwenzio? na nafasi ya hili swali katika mahusiano ni ipi?
Sijaona kosa lako kukaa nao kalibu, kwani kipindi hiki watu wanachumbia na kutongozana mbele ya wazazi sembuse we,lafiki tu. Achana na washamba wanao tongezeana kwenye majumba mabovu.