Jamani mademu wa Dar! Siyo mchezo

Kaka siom kwamba wanapendeza ni vinguo vya mtumba vinashika kweli kweli na wanajua kutembea kwa kupanua miguu hata wanapokaa kidogo walalamike. hivyo we puuza tu tafuta pesa ukimchukua hata bush anda 50 nenda kwenye mitumba anatoka mchicha tu.
 
Ofcoz dizim wapo watoto warembo na wanaojua kuvaa ukizingatia nguo zao zinauzwa bei Rahisi sana hata akivaa kitop cha jelo na ana chuchu msumari unaona kalipuuuka
 
vi mitumba vya tandale hivo mkuu wangu...... wee endelea kuuza mkaa tu.......
hao madem hawana kitu zaidi ya fungas....
 

Zafanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
hat mie nilishangaa nilipoenda mkoani kwa mara ya kwanza kusikia wakiita dar ndo bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…