BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,011
Sijui kama haya mambo yana mila mi sijuhi mila hata moja kwenye hili ila nazungumzia logic tu. Mama yako kama ana shida inabidi akuombe wewe hata kama huna kazi; kumuomba mumeo si njema sana maana kuna kumfanya atoe kwa sababu ya aibu ya ukwe; same kwa upande wa pili. Mimi mama mkwe akiniomba pesa kwa kweli kwangu inakuwa ni challenge na lazima nitampa tu ili asinichukie; lakini mama yangu ntampa kwa kuwa ninazo niko free kumwambia uwezo wangu.
Nakubaliana nawe kabisa NK.