Jamani kwetu mbali!

Jamani kwetu mbali!

kuna mnara unaogawanya nusu ya Dar na Mwanza hapo jirani, uangalie vizuri

Kweli ni pale mbele ya Manyoni unapokuja Dodoma karibu na mpando wa Salanda kuna kilima kinao mnara unaoonyesha ni katikati ya Tanzania na siyo Dodoma kama wengi tulivyoambiwa
 
....travelling is my my hobie ,umenikumbusha mbali sana mkuuu....
 
Back
Top Bottom