Habari wadau, mimi ni mtumishi wa umma nilijiunga na NIC miezi 10 iliyopota walipotutembelea ofisini kwetu na kutueleza aina mbali mbali za bima na faida zake.
Kilichonileta hapa kwenu ni kuuliza je ni kweli wanatoa faida kama wanavyosema? Nmepata nafasi ya kuangalia reviews za watu mtandaoni asilimia kubwa ni watu kulalamika shirika kutotimiza masharti ya mkataba.
Naombeni maoni yenu? Kama ni mbaya utaratibu wa kujitoa unakuwaje?
Asante