The Only Kilo
JF-Expert Member
- Jul 16, 2010
- 352
- 87
Nipo hapa mbele yangu amesimama mwanamke mmoja hivi....basi anajsogeza sogeza nyuma ilmradi tu amenigusa maeneo sensitive....
Uko kwenye daladala? Kwani hujui kuna climatic change kaka? Baridi siku hizi inaanzia mchana bana!
Chezeiya tabia nchi? Lol!
Hahah...evil mind u v got..angekuwa mwanaume je..ungewaza ivoivo kweli??!
ɐıɹıqnsnʞɐuı ɐǝɹǝƃǝs