Mbona connection hizi hanipagiIngekuwa mimi ni wewe na nina namba ya huyo mwanamke aliyesafiri ningebadili namba nimpe taarifa ya yanayoendelea akiwa huko huko ili ajue atamuacha au na yeye amtafute mzabzab huko huko safarini aburudike.

Hii ni hatari sana sisi wanaume ambao ni bikra yani ambao bado hatujawahi kufanya haya mambo mnatuchanganya.Aliyekuambia utamu Ni ule ule Ni Nani?
Kuna wanawake Wana mashine sio za kawaida na Kuna madimbwi. Kuna wanaojua kuikamulia ndani na Kuna wale kutoka kishumundu a.k.a maliza ufunike halafu wanawaza utawapa sh ngapi.
Doh😎Aliyekuambia utamu Ni ule ule Ni Nani?
Kuna wanawake Wana mashine sio za kawaida na Kuna madimbwi. Kuna wanaojua kuikamulia ndani na Kuna wale kutoka kishumundu a.k.a maliza ufunike halafu wanawaza utawapa sh ngapi.
Sikuizi una watu kabisa kwanini ulichanganya comment umefukiza watu kwenye thread zako kabisaJamani kwanini wanaume hamtulii mnakosa Nini??
Lazima uwe na mweusi ,mweupe , mwarabu ,mhindi, yaaniwafrika hadi keroo .
Mnachoshagaza serious , ni baada ya jirani yetu mkewe kasafiri na bado ameenda kuleta wadada wawili humo ndani Sasa mnakwama wapi??
Yaani unamsikia kabisa anakula nao good time . Jamani hii sio nzuri kabisa .
Tuambieni humu labda mtu anatakiwa kuwa na mchepuko pia ili aweze kuishi na wewe , kabisa.
Maana hii inaumiza unadhani umeacha mume kumbe kiraka
Sijakuelewa naomba mwongozoSikuizi una watu kabisa kwanini ulichanganya comment umefukiza watu kwenye thread zako kabisa
Mie nasema jirani sisemi huyo hata kswahili anaotea manenoUmeachwa tenaa na lile afrikasti la kijerumani miksa mtz na zawadi zote zile siku aliyokuja kitaa!!!!Shida mnakuaga na matangazo mengii kwenye mambo ya kawaida sema yanahitajigi kujitambua zaidi na usiri pia,,acheni matangazo matangazo yenu mtakazwa na kuachwa sana,,,ukifanyiwa jambo dogo tuu teyari kuja kututangazia humu kwenye sosho media
Hana hela aisee ataharibu cvKwani wewe una Mume?
Kama jirani yako umeshindwa kumsaidia afanyaje?
Siku nyimgine Mkewe akiondoka, mwambie kiraka upo karibu asihangaike kutafuta vya mbali.
Hana hela jombaInaonekanwa ulitakwa akuite wewe
Aku silagi vya watu nidhambiUsikute kati ya wawili hao wewe mmoja wao😂😂
Ndio maana mkionjeshwa na mijimama iliyo jichokea mnapagawa.Hii ni hatari sana sisi wanaume ambao ni bikra yani ambao bado hatujawahi kufanya haya mambo mnatuchanganya.
Acha kabisa unaweza kuvaa boxa kichwani ukidhani ni kofia. Ila tunajitahidiNdio maana mkionjeshwa na mijimama iliyo jichokea mnapagawa.