Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,350
Jamani kwanini wanaume hamtulii mnakosa Nini??
Lazima uwe na mweusi ,mweupe , mwarabu ,mhindi, yaaniwafrika hadi keroo .
Mnachoshagaza serious , ni baada ya jirani yetu mkewe kasafiri na bado ameenda kuleta wadada wawili humo ndani Sasa mnakwama wapi??
Yaani unamsikia kabisa anakula nao good time . Jamani hii sio nzuri kabisa .
Tuambieni humu labda mtu anatakiwa kuwa na mchepuko pia ili aweze kuishi na wewe , kabisa.
Maana hii inaumiza unadhani umeacha mume kumbe kiraka