Mh kama walifanya hivyo kweli wanastahili hilo tusi, wametangaza kazi, watu wamegharamia mastemp, bahasha ,photocopy na printing wakaitwa interview, mtu akasafiri kutoka mtwara mpaka dodoma, nauli kwenda na kurudi, chakula na malazi duh gharama zote hizi then kirahisi unakuja kumwambia mtu tumecancel interview!! Hapa wale walioitwa interview mwaka jana watakuwa hawana hamu tena ya hizo kazi..ngoja niombe mie mwaka huu hawatafanya vile tena.