Jamani kwaherini!!!

Mkuu nakurushia vocha ukifika huko nipe habari za huko kunajika kweli au tubaki huku huku na mateso ya sukari na ccm tu.πŸ˜›πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Dah! Afadhali server ipungukiwe na mzigo mmoja!
 
Duh maamuzi katishi.... Safari njema usisahau kutupa ubuyu wa huko.
 
ulipotoka umesema kwaheri uendapo umegonga hodi..?
 
Usiende mwaya kunawanao kupenda, utamiss vtamutamu
 
Ulaya mtu kama wewe ni wanted, coz unaweza kuwa umepanga kujitoa muhanga na kuua watu wengi, sometime wahaarifu huwa wanatoa taarifa kwa mitandao sema kibongo bongo watu wataona unatania tu, nobody will take care.
 
Afadhali mwizi wa kuku mtaani utangulie mbele ya haki. Usiku atulali kisa wewe, kuku awaongezeki kisa wewe.
 
Ulaya mtu kama wewe ni wanted, coz unaweza kuwa umepanga kujitoa muhanga na kuua watu wengi, sometime wahaarifu huwa wanatoa taarifa kwa mitandao sema kibongo bongo watu wataona unatania tu, nobody will take care.
Hahaha jinsia gan ww???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…