Jamani kwa wanaofahamu, hili ni tunda gani?

Jamani kwa wanaofahamu, hili ni tunda gani?

10155464_283509148481896_1600736106_n.jpg


Sie kwetu yote tunayaita mastafeli ilo la mzizimkavu ni zuri kula ila ilo la picchu halipiti kooni kabisa siliwezi kula.
 
Sie kwetu yote tunayaita mastafeli ilo la mzizimkavu ni zuri kula ila ilo la picchu halipiti kooni kabisa siliwezi kula.

Kweli king kila mtu na upendo wake mi napendelea hilo la juu aliloweka m/kavu lakini hata hilo ni zuri pia halafu nasikia kuna aina nyingine ambayo ni njano pia aina ya topetope
 
Back
Top Bottom