Maya Angelou
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 1,081
- 2,487
Lakini si umefanya
Ndo maana hata ww hauko confidently, ungekua hujafanya asingejua
Inawezekana na pia sababu anajua/hisi your Flirting(i can say cheating) yaweza kua hana ushahidi ila sababu amegusa penyewe, Ukahisi ana uhakika kumbe na yeye anabahatisha,
Inshu ni kujua, je anajua kweli au ana hisi.
Kama hujafanya just RelaxKwaio nijiamini basi nisubiri matokeo
Inawezekana.
Tupe maujanja hapa hapa kama wewe ni mkaliinawezekana mtu kujua mawasilino yako, kuanzia whatsup, normal sms nk (mara nyingi wanatumia kali linux kufanyia izo penetration na kupata izo vulnerability ), na inawezekana kuzuia iyo kitu. karibu inbox
Subiri tu, dawa ya muovu ni majuto na kusulubiwaKwaio nijiamini basi nisubiri matokeo