Jamani kumbe wabunge wetu umombo...Mmmmm

Jamani kumbe wabunge wetu umombo...Mmmmm

Spika: ENE KWESHENI?
wABUNGE : kIMYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA, SIYO KWAMBA HAWANA MASWALI

iLA BABA Umombo, kutema yai, kazi kweli kweli.

Yani nimecheka hadi nikahitajika kwenda maliwatoni moja kwa moja!!!

Yaani hilo swali la spika tu linatosha kuvunja mbavu, alafu kimya cha wabunge kinaleta kichekesho tosha kufanya meno ya mbele yalegee...kicheko kisichoisha ndio kina hitimishwa na sababu aliyoitoa muandishi juu ya wabunge kutouliza maswali.....kweli lugha hii ni janga la kitaifa.
 
of course he took it from wherever; or do you think he was lying? Otherwise things would have been different
 
mpasuajipu acha fix, nani ambaye hayupo ulaya? winter bado jamani inaanza karibia na christmas na kuchanganyia january. watu tupo ulaya mwaka wa 20 huu sasa msidanganye wenzenu khaaaaaaaa usifikiri hamna watu ulaya wanaoingia jamii forum. tek kea na ulaya yako ya uongo na umbea
 
Pole we! Wakati hata hicho kiswahili chenyewe wabofoa? huyo mkalimani mpaka aweze kucomprehend hicho kiswahili chako kibovu kisha aanze kukibadili kwenda kingereza wenzio tayari watakuwa mada ya kumi. Tena usituletee gharama za ziada yaani kukulipia wewe tu tayari ni mzigo. Hapo unataka tena tukulipie mkalimani. We unatutania. Au ndo unataka kumpatia ajira yule binti aliyesoma academy? Hapo kuna utata!!
 
Kwa Tanzania hakuna sababu yoyote kwa kiongozi kutojua Kiingereza kwa sababu ni lugha yetu official. Sheria zetu zote huandikwa kwa kiingereza, na hata gazeti la serikali huandikwa kwa kiingereza.

English is not our mother tongue!!
 
Akashube wapashe; Kwani hao wanaotuongopea watoto wetu wasome kwa kiswahili hadi chuo kikuu wa kwao wako wapi? Kenya, Uganda, Uingereza nk. Je huko wanasoma kwa kiswahili? wasitufanye wajinga ili watoto wetu wabaki kuwa mahouse girl wa watoto wao.
 
Zekuku ze bata nyingi ila ole medeye yuko vizuri
 
MASWALI MADOGO MADOGO HAWAJUI:
kirefu cha SADC= JibU South Development Community
SADC ilianzishwa lini?= Jibu sijui
Eleza utawakilisha vipi Watanzania= eti nina Degree nimesoma ulaya, nimehudhuria semina na mabunge mengi Africa na duniani

Kasoro Mchungaji Msigwa kajibu vizuri na hata language barrier hana.
Wengine puuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

CUF ndio kabisaaaaaaaaaaa, eti yakhe mie takailisha urojo na gahawa, pia watwakilisha tende na halua , hovyoooooooooooooooooooo

Spika naye: SENKI YU, ENE KWESHENI TO HIM? HIM AU HON?

KANUMBA UNG'ENG'E UNG'ENG'E

WAKAJIFUNZE KWANZA.
Nashauri hizo nafasi bora zibaki wazi kuliko kupeleka aibu hii kwa Taifa letu.

Au bora wakazungumze kiswahili si ni ligha kubwa tu Africa na wakalimani wapo jamani, tuthamini chetu.

Spika: ENE KWESHENI?
wABUNGE : kIMYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA, SIYO KWAMBA HAWANA MASWALI

iLA BABA Umombo, kutema yai, kazi kweli kweli.

Mkuu umenivunja mbavu! yaaani nimecheka hadi mwisho hasa hapo pa senkiu ya speaker!!!!Kama na mwona vile mama Makinda!ubaya wengine hatukuweza kuona wala kusikia!
Duuu ipo kazi ha ha ha haaa
 
Haya ndo matokeo ya kwenda bungeni kutafuta pesa na sio kufanya profession na kuwatumikia wananchi. Ndo maana tuna wabunge wengi vilaza.
 
Yani nimecheka hadi nikahitajika kwenda maliwatoni moja kwa moja!!!

Yaani hilo swali la spika tu linatosha kuvunja mbavu, alafu kimya cha wabunge kinaleta kichekesho tosha kufanya meno ya mbele yalegee...kicheko kisichoisha ndio kina hitimishwa na sababu aliyoitoa muandishi juu ya wabunge kutouliza maswali.....kweli lugha hii ni janga la kitaifa.
Mkuu mi mwenyewe nimecheka mnooo jinsi mdau alivyo m-quote speaker eti Senkiuu,enye q!
Ila kusema kua Africa tuna janga la lugha sidhani kama ni wote!nchi za west africa karibia zote wako poa kwa ngeli,east africa ni Tz tu yenye challenge coz KY,UG etc wote wanatema mbaya,south africa countries ndo usiseme!
Kuna haja watu wakaelewa kua hii luga ilikuja na MELI ila ni ya muhimu kinoma!
Wakati sisi tunahangaika na Ngeli wazungu wanahangaika na kujifunza kichina coz ndo itakayo lipa baadae!
Yaani speaker ndo kabisaaaaa hoi!
NB:Kingereza ni luga iliyokuja na meli!!!!kaaziii kweli kweli!ha ha haaaaaaaa

 
Oooh my Goshh! what a joke! this is so embarrassing! and :focus: can anybody drop a clip for us please! sssenki yuuu!!!:loco: I can not believe that we will get stuck in this crap ooops!:sorry: for the next 5 years Noooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!:smile-big:
 
English is not our mother tongue!!

Jamani tuache visingizio vya kuhalalisha uvivu wa kujifunza lugha muhimu kama umombo.........................Kenya na Uganda umombo siyo lugha yao ya kuzaliwa...............wana makabila yao lakini umombo umenyooka............tusipojua umombo tutashirikiana vipi na nchi nyinginezo?

Ushawishi wetu kwenye jumuiya za kimataifa utadorora sana bila kuumudu umombo....................huo ndiyo ukweli wetu....
 
Tatizo hapa si Lugha. Tatizo ni kukosa General knowledge hasa elimu ya uraia. Tanzania sisi ni mbumbumbu. We dont bother kujua mambo. Kuna wanafunzi wanaosoma St. Kayumba na wana ufahamu wa mambo kuliko hao wa academic. Ukienda Kenya ukamhoji chokoraa mtaani, namna yake ya kujieleza anampiku hata mwanafunzi wa chuo cha ustawi wa jamii! HUYO BABA ALIYESHINDWA MAANA YA SADC SIJUI ATAWAELEZA NINI WANAE.
 
Tatizo hapa si Lugha. Tatizo ni kukosa General knowledge hasa elimu ya uraia. Tanzania sisi ni mbumbumbu. We dont bother kujua mambo. Kuna wanafunzi wanaosoma St. Kayumba na wana ufahamu wa mambo kuliko hao wa academic. Ukienda Kenya ukamhoji chokoraa mtaani, namna yake ya kujieleza anampiku hata mwanafunzi wa chuo cha ustawi wa jamii! HUYO BABA ALIYESHINDWA MAANA YA SADC SIJUI ATAWAELEZA NINI WANAE.
 
Bintimkongwe sio suala la Lugha tu....Hivi inakuwaje mtu anagombea Ubunge wa SADC na anaulizwa kirefu cha SADC pia anashindwa?anaulizwa umoja huo una Nchi ngapi pia hajui?Je angeulizwa kwanini sasa ni SADC na ilipoanzishwa (1980) ilikuwa SADCC si angeona wanamtusi? Huyu mtu anataka kwenda huko kufanya nini?Inapaswa tuchague wapi walio serious,vinginevyo ni aibu ya Nchi.Wale wote Wabunge wageni Bungeni wanapaswa wawe watundu kujifunza mambo yanayohusu kazi zao.Tanzania ya leo sio ile ya Mwalimu....masuala ya kubebana lazima yaondoke na tuchague watu kwa merit.

kweli,
 
English is not our mother tongue!!

Agreed
. That wasn't an English class you people. Mimi niliona kipindi hicho live na kuridhika jinsi wengi wao walivyojieleza hasa kwa vile Kiingereza siyo Lugha yetu. Hali kama hiyo ingejitokeza pia endapo ungewataka Wajeremani, Wafaransa, Wachina au Watu wa Scandinavia wazungumze kingereza Bungeni mwao. Tatizo letu Watanzania tunapenda sana kuchunguza grammer kwenye spoken English kama vile tuko kwenye Mtihani wa Literature. Mtu akikosea kidogo basi tutacheka kama mazuzu. Ni rahisi kukosoa kuliko kutenda. Wengi wetu tungepewa nafasi ile ya kujieleza jana, hali ingekuwa mbaya kuliko tulivyoiona. Hata aliyeanzisha mada/post hii anajua Kihaya zaidi kuliko Kiswahili au Kingereza. Ni majigambo na ujinga tu ndiyo vinatusumbua.
 
Agreed. That wasn't an English class you people. Mimi niliona kipindi hicho live na kuridhika jinsi wengi wao walivyojieleza hasa kwa vile Kiingereza siyo Lugha yetu. Hali kama hiyo ingejitokeza pia endapo ungewataka Wajeremani, Wafaransa, Wachina au Watu wa Scandinavia wazungumze kingereza Bungeni mwao. Tatizo letu Watanzania tunapenda sana kuchunguza grammer kwenye spoken English kama vile tuko kwenye Mtihani wa Literature. Mtu akikosea kidogo basi tutacheka kama mazuzu. Ni rahisi kukosoa kuliko kutenda. Wengi wetu tungepewa nafasi ile ya kujieleza jana, hali ingekuwa mbaya kuliko tulivyoiona. Hata aliyeanzisha mada/post hii anajua Kihaya zaidi kuliko Kiswahili au Kingereza. Ni majigambo na ujinga tu ndiyo vinatusumbua.

kabla hujajikitisha kwenye hoja hizi kaangalie Bunge la kenya kwenye TV za TBC1 au the CITIZEN halafu uone kama haya majibu yanaridhisha...........................Jamani lugha ya kiingereza ni tatizo kubwa hapa nchini.......na hata kama unajua maarifa lakini kama huwezi kuwaelezea wenzio kwenye lugha inayotumika huko basi umekwisha................hutakuwa na msaada kwa kuiwakilisha nchi yako.....jana karibu wabunge wote waliohojiwa nafasi za SADC lugha iliwatatiza mno.........kama hilo hulioni basi viwango vyako vya lugha vipo chini sana........................Inabidi nikupe pole.............
 
kabla hujajikitisha kwenye hoja hizi kaangalie Bunge la kenya kwenye TV za TBC1 au the CITIZEN halafu uone kama haya majibu yanaridhisha...........................Jamani lugha ya kiingereza ni tatizo kubwa hapa nchini.......na hata kama unajua maarifa lakini kama huwezi kuwaelezea wenzio kwenye lugha inayotumika huko basi umekwisha................hutakuwa na msaada kwa kuiwakilisha nchi yako.....jana karibu wabunge wote waliohojiwa nafasi za SADC lugha iliwatatiza mno.........kama hilo hulioni basi viwango vyako vya lugha vipo chini sana........................Inabidi nikupe pole.............

Ningelikuwa mimi ningelijali zaidi knowledge ndogo waliyo nayo wabunge wetu juu ya hiyo SADC wanayotaka kwenda kutuwakilisha kuliko level ya kiingereza chao.

Kiingereza ni lugha ya wengine na kama hutumii kila siku na ghafla ukaambiwa ujieleze kwenye hiyo lugha utatababaika tu.

Ingelikuwa vizuri laiti wangelikuwa wazuri sana wa Kiingereza lakini sio the most important factor. Angalia wawakilishi mbalimbali hapa duniani, pamoja na lugha zao kutokuwa nzurri, hawajashindwa kufanya kazi zao. Hata katibu mkuu ya UN anaongoza baraza kwa kiingereza chake kisicho timamu na hujasikia wajumbe wakimcheka.

Watanzania tuna ujinga mwingi ambao tunaufumbia macho na kuweka nguvu zote kwenye nani anaweza kuongea Kiingereza bila makosa. Ukiangalia hata kiswahili tunaongea kwa makosa japo tuna confidence nacho na ambayo inaficha makosa kibao ya waziwazi.

Wabunge wajitahidi kusoma ili kuongeza uwezo wao wa kujua mambo ya dunia na challenges mbalimbali ambazo zinaikabili dunia kwasasa na namna ya kupambana nazo. Tupunguze hii ya nyama choma kila jioni na badala yake kuwe na muda wa japo kujisomea vitabu.
 
Sio Lugha pekee. Na ufahamu pia. Mimi nimesoma Shule ya Msingi Kilaremo iliyoko Wilaya ya Moshi Vijijini. Tukiwa darasa la tano tuliweza kumeza virefu vyote vya mashirika kama ILO, FAO, UNO, SADC nk. Hii inasikitisha jamani. NIMEJISIKIA AIBU HADI NIKACHANGE CHANEL YA TV. Speaker nae ndo kabisaaa!


furahi umenikumbusha mbali kilaremo shule yangu enzi za makampu na mwl balbina. Enzi za mwalimu ususome mchezo. alikuwa hapendwi mtu ila kitabu tu. Hakuna cha babayako nani na uchakachuaji wa vyeti haukuwepo. leo mambo yamekuwa kama zile mbio za kupeana vijiti (BMW)!! Ndo matokeo yake hayo ze misezi spika
 
Back
Top Bottom