Jamani kumbe wabunge wetu umombo...Mmmmm

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
225,247
856,556
Nimeangalia kiwango cha wabunge wetu kujieleza kwa umombo bungeni na nimegundua ya kuwa ipo shida hapo hata huko SADC ambako tunawatuma hawawezi kutuwakilisha vizuri kwa sababu ya kutojua lugha hii ya dunia..................Wagombea wengi wa ubunge wa SADC kupitia bunge letu wameonyesha kigugumizi cha kujieleza kwa lugha ya kiingereza..........................................

Jamani msishangae huko SADC tukiwa tunaburuzwa maana uwakilishi wetu....................Mmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Jamani msishangae huko SADC tukiwa tunaburuzwa maana uwakilishi wetu....................MmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhSema wabunge wa CCM ndiyo wanachakachua lugha, CHADEMA wasomi weweeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sema wabunge wa CCM ndiyo wanachakachua lugha, CHADEMA wasomi weweeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!

Jamaa hawajui tenses!!!, wanachanganya badala ya past continuous tense yeye anasema past tense, hata speaker shida! Wa chadema amejitahidi anaonekana anajua tenses
 
Lugha ni issue jamani. Wapiganaji wa chadema ni wasomi. hawawezi kushindwa kujieleza hata siku moja. thithiem iliyoshinda kura nyingi vijijini wabunge wake wengi wamechakachua vyeti. kwa hiyo sishangai kutoweza kiingereza.
 
sema wabunge wa ccm ndiyo wanachakachua lugha, chadema wasomi weweeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!

bora sisiem kidogo ila cafuuuuuuuuuuuuuuuuuu aibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu hatuwataki jamani waondoke huuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu hawafai yaani fulll urojo;;;;
 
Mkuu huu ni ugonjwa bwana sijui itakuwaje manake sa nyingine unahisi jamaa kaenda shule laini fluency ya ngeli anachehcemea. Kazi tunayo!
 
Nimeangalia kiwango cha wabunge wetu kujieleza kwa umombo bungeni na nimegundua ya kuwa ipo shida hapo hata huko SADC ambako tunawatuma hawawezi kutuwakilisha vizuri kwa sababu ya kutojua lugha hii ya dunia..................Wagombea wengi wa ubunge wa SADC kupitia bunge letu wameonyesha kigugumizi cha kujieleza kwa lugha ya kiingereza..........................................

Jamani msishangae huko SADC tukiwa tunaburuzwa maana uwakilishi wetu....................Mmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhh

Mkuu wengine tuzipata habari zikiwa zimeshachujwa sana. Kama inawezekana mkawa mnatuwekea clip.
 
Sio Lugha pekee. Na ufahamu pia. Mimi nimesoma Shule ya Msingi Kilaremo iliyoko Wilaya ya Moshi Vijijini. Tukiwa darasa la tano tuliweza kumeza virefu vyote vya mashirika kama ILO, FAO, UNO, SADC nk. Hii inasikitisha jamani. NIMEJISIKIA AIBU HADI NIKACHANGE CHANEL YA TV. Speaker nae ndo kabisaaa!
 
Nimeangalia kiwango cha wabunge wetu kujieleza kwa umombo bungeni na nimegundua ya kuwa ipo shida hapo hata huko SADC ambako tunawatuma hawawezi kutuwakilisha vizuri kwa sababu ya kutojua lugha hii ya dunia..................Wagombea wengi wa ubunge wa SADC kupitia bunge letu wameonyesha kigugumizi cha kujieleza kwa lugha ya kiingereza..........................................

Jamani msishangae huko SADC tukiwa tunaburuzwa maana uwakilishi wetu....................Mmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhh

Mbona wasomi wapo wengi tu ambao wangeajiriwa kama wakalimani? Ujinga wa Chama Cha Majambazi ndiyo sababu tunauziwa mbuzi kwenye gunia, wewe unaongelea SADC vipi kwenye EAC ambayo tunaingizwa mkenge kila uchwao.

Lugha ni taaluma na sioni kwa nini tusiwaajiri vipanga wengi tu bongo wenye kuitafuna hii lugha kama mswaki. Tukifanya hivyo tutawapiga chenga wengi sana hata Mwizi mwenyewe ki-english chake wasi wasi ungeangalia mahojiano yake alipokuwa States.
 
Jamaa hawajui tenses!!!, wanachanganya badala ya past continuous tense yeye anasema past tense, hata speaker shida! Wa chadema amejitahidi anaonekana anajua tenses

Lugha ni issue jamani. Wapiganaji wa chadema ni wasomi. hawawezi kushindwa kujieleza hata siku moja. thithiem iliyoshinda kura nyingi vijijini wabunge wake wengi wamechakachua vyeti. kwa hiyo sishangai kutoweza kiingereza.

hakuna cha chama hapa wote walikuwa wazito sana kwenye ngeli. yule ole medeye naona ndiye alijitahidi kwa kweli
 
Nami nimeinyaka!!!!!!!!!!!!!!
"I am an economist holding a masters degree in community development which I took it from______"ilibidi nibonyeze mute!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu wengine tuzipata habari zikiwa zimeshachujwa sana. Kama inawezekana mkawa mnatuwekea clip.

Sina clip ila nimeweka muhutasari wa mambo muhimu kwenye uzi wangu kule kwenye Habari mchanganyiko..pitia utapata habari zaidi zile za muhimu tu ambazo kesho hutaziona kwenye magazeti yetu.............
 
Wabunge wetu wanashida kubwa?
hata kwenye maswali
kuna mtu kaulizwa SADC ina nchi wanachama ngapi? mgombea hajui tehetehetehe

swali nini madhumuni ya SADC? mtu chali

swali lingine lilikuwa kamati ya bunge la SADC ambalo mgombea anaenda kuwakilisha lilianzishwa lini? mtu chali tehetehetehete

ni vizuri wawe wanafuatilia mambo ni aibu sana
 
Pamoja ni ukweli usiofichika ya kuwa wabuinge wa Chadema wapo wanaojua umombo barabaraaaaaaaaaaa............lakini yule kasisi aliyeomba nafasi ya ubunge wa SADC amewaangusha Chadema..................alikuwa anajiumauma sana............alionyesha lugha hii kwake ni shubiri....................
 
At least leo umeweza kuwa objective kwenye issue inaiyohusu chadema
 
Eee bwana weee wacheni kukandia hao wabunge wetu kwa issue ya lugha.

Mimi huwa nahudhuria mikutano mikubwa ya kimataifa yanayohusiana na field yangu. Utakuta Professa limebobea kwenye taaluma yake lakini kwa vile amebadilisha lugha (labda from Spanish or French to English) basi na yeye huwa 'zis is zat is'. Lakini huwa anapewa heshima zote.

Muhimu ni mchango wake katika hilo bunge.
 
Speaker: "CAN YOU EXPLAIN YOURSELVES" kisha kamalizia " THANK YOU FOR YOUR REPRESENTATION!" wanamrepresent nani hapo mbele? OMG!
 
Speaker: "CAN YOU EXPLAIN YOURSELVES" kisha kamalizia " THANK YOU FOR YOUR REPRESENTATION!" wanamrepresent nani hapo mbele? OMG!
 
Pamoja ni ukweli usiofichika ya kuwa wabuinge wa Chadema wapo wanaojua umombo barabaraaaaaaaaaaa............lakini yule kasisi aliyeomba nafasi ya ubunge wa SADC amewaangusha Chadema..................alikuwa anajiumauma sana............alionyesha lugha hii kwake ni shubiri....................

kwa nini mnataka kuwatenga Chadema? lugha ni tatizo la watanzania bila kujali chama. bado kuna wengine wa chadema tutawaona mbeleni utacheka mpaka uzimie tehetehetehetehe huyo ni mchungaji tu
 
Eee bwana weee wacheni kukandia hao wabunge wetu kwa issue ya lugha.

Mimi huwa nahudhuria mikutano mikubwa ya kimataifa yanayohusiana na field yangu. Utakuta Professa limebobea kwenye taaluma yake lakini kwa vile amebadilisha lugha (labda from Spanish or French to English) basi na yeye huwa 'zis is zat is'. Lakini huwa anapewa heshima zote.

Muhimu ni mchango wake katika hilo bunge.

Bintimkongwe sio suala la Lugha tu....Hivi inakuwaje mtu anagombea Ubunge wa SADC na anaulizwa kirefu cha SADC pia anashindwa?anaulizwa umoja huo una Nchi ngapi pia hajui?Je angeulizwa kwanini sasa ni SADC na ilipoanzishwa (1980) ilikuwa SADCC si angeona wanamtusi? Huyu mtu anataka kwenda huko kufanya nini?Inapaswa tuchague wapi walio serious,vinginevyo ni aibu ya Nchi.Wale wote Wabunge wageni Bungeni wanapaswa wawe watundu kujifunza mambo yanayohusu kazi zao.Tanzania ya leo sio ile ya Mwalimu....masuala ya kubebana lazima yaondoke na tuchague watu kwa merit.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom