Kongosho bana...
"..vitu vidogodogo akawa hamuelewi..." anyways.. Aliangalia matembezi au, alidevop mapozi flani,ama alishuku tu... Wajua kuna watu kupitia hii thread kesho wanaweza kupeleka watoto wao hospitali kucheki..
i try,i try Konnie,we acha tu,katoto kapuuzi sana haka.
kuna katoto niliona niwe mama ushauri wake katika maongezi nikamwambia ukifanya hayo mambo waweza pata mimba akaniambia wewe mimi sijawahi kulala na mwanaume yeyote bila kutumia mpira ,nilizimia mtoto wa miaka 12Sijui huwa nawaonea akina mama?
Ila tabia ya binti nashindwa kuitenga na tabia ya mama
Hata kama binti atapinda kiaina lakini tabia ya mama yake ina nafasi kubwa sana
Kuna vitu ambavyo binti anajifunza kwa mama bila hata kuambiwa
Mfano, mama anaamini nini katika thamani ya mwili wake?
Kama mama ni cheater, basi sitashangaa na binti akiwa hivyo
NA ukiangalia malalamiko sku hizi
Wake za watu wanacheat sana kuliko zamani
Sasa hawa watoto wetu watajifunza nini kutoka kwetu
It's complicated
Unless wazazi tumebadilika, watoto wetu nao watabadilika
Kumbe huwa inauma Bishanga ehee...ulipokuwa unachezea watoto wa watu au ukiwa unapiga infidelity zako kaa ukijua kuwa na wewe wa kwako kuna jamaa wataanza kummendea soon...lolwa kwangu sasa hivi natamani nimtafune nimmeze,presha imepanda,kichwa kinaniuma,yaani nasikia kizunguzungu,wana nini watoto hawa? Niacheni nilale nisije nikampasua kichwa!
Unategemea nini kama binti anfahamu mabuzi ya mamake vivyo ivyo wakiume anazifahamu nyumba ndogo za babake, majibu yanayotoka hapo ni hasiSijui huwa nawaonea akina mama?
Ila tabia ya binti nashindwa kuitenga na tabia ya mama
Hata kama binti atapinda kiaina lakini tabia ya mama yake ina nafasi kubwa sana
Kuna vitu ambavyo binti anajifunza kwa mama bila hata kuambiwa
Mfano, mama anaamini nini katika thamani ya mwili wake?
Kama mama ni cheater, basi sitashangaa na binti akiwa hivyo
NA ukiangalia malalamiko sku hizi
Wake za watu wanacheat sana kuliko zamani
Sasa hawa watoto wetu watajifunza nini kutoka kwetu
It's complicated
Unless wazazi tumebadilika, watoto wetu nao watabadilika
wa kwangu sasa hivi natamani nimtafune nimmeze,presha imepanda,kichwa kinaniuma,yaani nasikia kizunguzungu,wana nini watoto hawa? Niacheni nilale nisije nikampasua kichwa!
hahahhaaaa haya bana nimekupata,umemwona Kaunga alivyonishikia bango?Dah pole ndugu, ongea na mwanao usimwonee haya na pia watoto wanajifunza kwe2 wazazi, so bishanga watch urself isijekuwa ndo yale yale ya naenda kusema kwa mama.
oh dear oh dear poleni sana,mshampata?Hali ni ngumu sana, wasichana wadogo hawana ubavu wa kuresist 'masomo' ya wijana na wanaume wenye uchu wa fresh kila kona, binti wa kaka yangu jana katiroka home anasingizia anakuja kwangu, amepata zeroform four juzi, tunamtafuta, naona leo tunaenda polisi kuripoti
yaani baba Canta mi nachoka kabisa,umesoma sad story ya Haika hapo page 2? Hivi tunafanyaje?Huyu mwanangu Ngina mie ninafikiria kumpeleka kwa Nyanya yake huko kijijini, mzee mwenzangu hawa mabinti zetu, yaani kaazi kwelikweli...............
Humu humu JF kuna mifano mingi tu, kuna vibinti ukisoma maoni yao, unajua kabisa ni pasua kichwa..................LOL
ahsante mama,ukimwona Kaunga mwambie namsalimi!16 dah kakubwa ako, usipokuwa makini utapata kajukuu hapo mmh!
jitahidi kuwa nae karibu huyo ndio umri wenyewe wa kutaka kujua kila kinachoendelea dunian lol!
pia muweke kwenye kumjua mungu, GOD FEAR ndio mpango mzima kiidogo itamjenga vizuuri.
regardz to koku lol!