Jamani kukaa kwenye mahusiano muda mrefu inaboa sana

Jamani kukaa kwenye mahusiano muda mrefu inaboa sana

Duh, kuna ndoa hata miaka 5 hazikuweza fika. Yako ni ndoa hata kisheria, sema ule mkataba tu hamjasaini ndio maana mlikuwa mnaachana. Waliokwenye ndoa huwa wananuniana badala ya kubreak up halafu wanamake up kama ninyi mnavyomake up.

So kwa maoni yangu, fungeni ndoa kbs kwani mnajua kumake up baada ya kukwaruzana ambacho ni kitu muhimu sana kwa ndoa.

Hawa wakifunga ndoa wataachana kabisa
Trust me!!!!!!!
 
Mamy..... mimi49....ukikaa na mtu miaka yote hiyo mnakuwa mnajuana vizuri sana...in and out...seven years si mchezo...ila mbaya ni hiyo ya kuachana...achana...

Wanaachana kwakuwa hakuna binding contract (cheti cha ndoa), wanarudiana kwasababu wanapendana (wanaona ni ngumu kuishi without each other).
Ni ndoa gani watu wasotofautiana? Do we know sababu za kuachana achana kwao? Possibly ni wivu, ambao unachangiwa na insecurity ya mmoja wao hata wote wawili.
Cc: mimi49
 
Last edited by a moderator:
Kun kipind tuliachan but mim ndy nianza kuzingua kil mtu akaw kweny mahusiano mengn but baada ya mwak tulirudian nikiwaz najiskia hovyo....na huu muda ndy namuhitaj san kuliko wakt mwingn wowote

Tatizo la kuachana na kujrudiana ujue bado mnapendana na hiwa mnaachana kwa sababu ya WIVU. so kila mtu anakiwa bado anampenda mwenzie sema poz na wivu ndo vinasababisha mnaachana.
 
Acheni fikra potofu mm nilianza nae primary nimetangaza ndoa university
 
Hawa wakifunga ndoa wataachana kabisa
Trust me!!!!!!!

Why should l trust you?
Ni kitu gani kinachowafanya warudiane ilhali hawana commitment to each other?
Na ni kitu gani kitachowafanya wasirudiane pindi wameshaapa kwa shida na raha?

Unless mleta mada kafunguka zaidi sababu za kubreak up na kumake up, l guess hatuwezi sema kwa uhakika kwamba ndoa is the right thing to do or not.
 
Why should l trust you?
Just because am telling you the truth!

Ni kitu gani kinachowafanya warudiane ilhali hawana commitment to each other?

Wanarudiana kwa kuwa wako huru,hawana commitmet yoyote ni wao tu wanaoamua hawaamuliwi na makaratasi yoyote
Na ni kitu gani kitachowafanya wasirudiane pindi wameshaapa kwa shida na raha?

Hujawahi kuona watu waliishi kwa amani na upendo kwa miaka 5 halafu mwaka wa kwanza tu baada ya kufunga ndoa wakaachana?
Unadhani ni kwanini?

Unapofunga ndoa unakuwa umejitoa wewe kwenye ndoa kinabaki mazoea na makaratasi tu,unarelax si ni mke bana tena wa kufa na kuzikana!
Kwenye mahusiano yasiyokuwa na ndoa watu wanajituma wanajua kuwa akifanya uzembe ataachwa muda wowote,mtu anajitahidi kuwa mbunifu

Kwenye ndoa hakuna kuachana,kuna kusameheana na kukaa mpaka kifo kiwatenganishe
Unakuwa mzembe tu bila hofu yoyote
Ndoa za kikristo ndo zina matatizo haya kutokana na kiapo!

Unless mleta mada kafunguka zaidi sababu za kubreak up na kumake up, l guess hatuwezi sema kwa uhakika kwamba ndoa is the right thing to do or not.

Ndoa ni sawa kwa wale wanaojua ni kwanini waoane!!!!
 
Wanaachana kwakuwa hakuna binding contract (cheti cha ndoa), wanarudiana kwasababu wanapendana (wanaona ni ngumu kuishi without each other).
Ni ndoa gani watu wasotofautiana? Do we know sababu za kuachana achana kwao? Possibly ni wivu, ambao unachangiwa na insecurity ya mmoja wao hata wote wawili.

Mi nna imani wakioana wataishi vzr sana, kwa sababu migogoro kwao ni kawaida hivyo hata itakapotokea tena haitawasumbua sana akili. Wanaweza wakaimaliza wenyewe tu bila kwenda kwa Shekhe wala Paroko.

Kuachana na kurudiana, mkaachana tena mkarudiana, tena tena na tena, tayari inaonesha wapo kwenye mapenzi mazito sana kiasi ambacho wanashindwa kuvumilia kila mmoja kuchukua 50 zake.. Hawa bond yao iko strong sana. Wafunge ndoa tu.
 
Umeona eeh.
Halafu Eiyer hiyo unayosema ni truth ni OPINION yako tu. What is a truth, nakumbuka swali hilo aliulizwa Yesu.

Na kamtindo ulikokaanza kakuquote mstari na kujaribu kuujibu mimi naona unalazimisha points ambazo hazipo.

Hiyo mifano uliyotoa, naweza nikakupa mingine inayopingana na hiyo nikalazimisha kuwa ndio ukweli wenyewe.

Ukweli ni kwamba mimi na wewe hatujui kama bidada akifunga ndoa na mkaka itawork au isiwork. Na bado one can argue, kuwa kuwork inakuwaje na kutowork inakuwaje.

Naenda church, mood ya league na jumapili hii hata nikiitafuta kwa Google search engine siipati.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom