Egwugu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,558
- 8,556
Ndo tatizo la kukaa pasipo kufungu ndoa na mkapata mafunzo nini maana ya ndoa... kufunga ndoa kuna umuhimu kwamba kila mtu alikula kiapo na kila mtu ni rahisi sana kutimiza wajibu wake make ndoa inalelewa lakini pia nisiwachoshe msipofunga ndoa huwa kuna mda wa kudharauliana ila mkifunga unaweka heshima ya kukubali huyu ni mme wangu leo na kesho
Fungeni ndoa kisaikolojia inaimpact kubwa sana.
Fungeni ndoa kisaikolojia inaimpact kubwa sana.