kipusy
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 639
- 321
Mambo vip wana-JF. Kheri ya mwaka mpya. Jamani mi sijui ni ushamba wangu ila nasikitika sana wanandoa/wapenzi ku-share vitu kama MISWAKI, TAULO, NGUO ZETU ZILE, kijiko kimoja wakati wa kula. na vinginevyo vingi jamani hii imekaaje? Je ni sahihi? Je ni afya? Kwako inakubalika?
BEST REGARDS
HIVYO UNAVYOZANI NI USHAMBA, NI USHAMBA KWELI.... wanandoa ni mwili mmoja, usiku kucha wanalala wamekumba"tiana" kisha kuvaliana na kushea taulo isiwezekane vp??? kila mara ndimi zao ziko pamoja, chumvi kwa sana hadi kunako vinyesi ulimi unajivinjari...isiwezekane kwa miswaki???? ILA NATOA ANGALIZO KWA boy/girl friend relationship..... hawa ndio wako kwenye hatari hawapaswi kufanya hayo.....