Jamani ku-share huku kunakubalika?

Mara nyingi wanawake wanakuwa na maumbo makubwa hasa nyonga na makalio, sasa akivaa kale ka nguo kangu na mimi ni mwembamba itakuwaje? Au mimi niki vaa guo lake lile litanikaaje? Labda nilivae kama vest! Lol!

Ya mke wako hayakuhusu; jali ya kwako...ushauri wangu ni kwamba, ifunge na pini...c unampenda!!!!! tatizo ni chini ya nyonga, yaani chini ya pale pa kukatia gogo, manake kaguo katakua kananing'inia!!! Ili iku-fit, itabidi ulikunje lile linaloning'inia kisha kulifungia kwa mbele usawa wa kituvoni au kwa nyuma kama nepi vile!!!!!!!
 
Baba mkwe nae atakuja huku kavaa chupi la mkewe, itakuwa ngoma droo, sanasana mkwe atawaza kumbe na hawa kama sisi!

Haya mambo mengine bana, we acha 2!! unajua akili ya bianadamu shenzi taipu sana, ione hivi hivi!!! unaweza ukavaa chupi ya mkeo halafu ukaanza kujisikia kama hamu hamu hivi ....ya kushughulikiwa!!!! dume anayebisha, ajaribu....kama hajahisi kama kiuono kinaanza kulegea legea hivi; shauri zenu!! c ajabu, ukajikuta unabadilisha mwendo, kutoka ule wa kugangamala hadi wa madaha! Mbaya zaidi, ukiona kuna dume anakuja kwa nyuma, kisaikolojia, unaweza kujikuta unahisi, kwamba jamaa anakumendea nini!!!
 
Hii mbona kawaida tu????? If you can kiss, make love, touch private parts by tongues after making loves, sucking, blow jobs etc, what is so difficult in sharing a glass or a spoon? Ndo mautamu yenyewe hayo!

Asikuambie m2 wewe, mengine hayo huwa yanawezekana kwavile tayari shetani lamba lamba na lambwa lambwa yakiwa yameshapanda na sio ktk akili za kawaida!!
 
Inawezekana,maana kila mwili una mipaka,na sio kila wakati mnakua mwili mmoja!

True that.
Alafu ukifikiria hiyo concept ya mwili mmoja, kama kila mwanandoa angekua anaamini hivyo wanaosema mume/mke kucheat ni sawa kama sijui wasingefikiria hivyo maana miili yao inatumika huko nje bila ruhusa yao.
 
Yes Lizzy nakubaliana na wewe,wanaosapot cheaters sijui wanatumia kigezo kipi,too bad,watu wanasema mwili mmoja halafu wanalalamika sijui huyu hivi sijui nani vile wanachosha!
 
kila kitu ni makubaliano yenu wawili, umeona wengine hawapendi kulambwa maybe tigo ok wengine wanapenda kulambwa, tenna sio kulambwa kunyonywa, na mambo mengine tigo no, au vyote, ni maamuzi ya wawili, na kuhusu mwili
mmoja kama kwenye post yako iliyopita
kasome wimbo ulio bora uchafu wote uko
kule wa mwili mmoja

Sio kweli kwenye uwimbo ulio bora hakuna mambo ya kugusuna sehemu za haja kubwa,na wala ngono kwa njia ya mdomo.

Pili uwimbo ulio bora umezungumzia sex kwa mume na mke tu(wanandoa)

Mtu ukiamua kufanya unachofanya fanya tu lakini usianze kujustify kwa vitabu vya Imani.
 
Kinachonishangaza kwenye mada hii ni wingi wa wanaopendakulambwa au kulamba
chumvi! Kuna tofauti yoyote ya uchafu huu na
hule wakutumia mlango wa pili?!
[/
SIZE]






Ndio ugonjwa wetu huu ndugu kuiga ,watu wanaiga kulamba hadi njia ya haja kubwa kwa sababu wamarekani wanafanya,na lazima na yeye wamuone kama yumo.
Mabibi na mababu hawakufanya haya mambo.
 
Kuna wale wanaozamia chumvini ! Ukimweleza vya mswaki hatokuelewa kabisa.

huku kote ni kujidhalilisha. Na waafrica tunaiga sana na ndicho kinachotuponza. Je wazazi wetu au wakubwa zetu walifanya hayo? Tubadilike bwana.
 
Back
Top Bottom