Jamani: Kondakta VS Dereva nani huwa ana....

Jamani: Kondakta VS Dereva nani huwa ana....

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
Nipo kwenye Gari naelekea town nimetoka kimara. Nimekaa siti ya karibu na kondakta toka kimara nilikuwa natafakari kati ya hawa watu wawili nani ikifika jioni huwa anachoka zaidi.
Nikiangalia naona kondakta kwa sababu:
1. Anasimama zaidi kwenye gari.
2. Anatumia mda na nguvu pia kuita wapandaji kwenye gari.
3. Ana2nza kumbukumbu nani hajalipa na nani kalipa chenji n.k
LAKINI
nikifikiri zaidi naona dereva anachoka zaidi kwani:
1. Hukaa mda mrefu kwenye kiti.
2. Anamake sure kwamba anaendesha kwa usalama n.k.

We Unafikiri nani huwa anachoka zaidi??
 
Back
Top Bottom