Jamani kiswahili cha Kenya......

Jamani kiswahili cha Kenya......

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741

Maadhimisho ya siku ya ukimwi Kenya​
kls-wmk.php

hahahahahahah lolz.
Kilicho andikwa ndo kimeniacha hoi..
hizo sentensi mbili za mwisho duuhh
sijui ndo wanaita shaggy ...(skumbuki)
Mimi pia hicho kiswahili cha hao watu wa Kenya kimeniacha hoi na kucheka sana mpaka mbavu zinaniuma sana, huku nilipo ninao wakenya wa kabila la kikuyu basi hicho kiswahili chao waweza kucheka wanachanganya kiswahili na lugha yao ya kikuyu tehtehteh

Mimi pia hicho kiswahili cha hao watu wa Kenya kimeniacha hoi na kucheka sana mpaka mbavu zinaniuma sana, huku nilipo ninao wakenya wa kabila la kikuyu basi hicho kiswahili chao waweza kucheka wanachanganya kiswahili na lugha yao ya kikuyu tehtehteh

hahahahahah
saa nyingine ngumu kwaelewa
dahhh kazi kweli kweli lolz..

hahahahahahah lolz.

Kilicho andikwa ndo kimeniacha hoi..

hizo sentensi mbili za mwisho duuhh

sijui ndo wanaita shaggy ...(skumbuki)

ile inaitwa sheng ni kiboko....unaweza ongea mbele ya mshua na akatoka kapa....(hasa yale maongezi ya vijana ambayo hawataki mzazi aelewe)

Mie huwa wananiacha hoi tu pale wanaposema "NILIGONJEKA" nakwenda "KWA NYUMBA"

hahahahahahah lolz.
Kilicho andikwa ndo kimeniacha hoi..
hizo sentensi mbili za mwisho duuhh
sijui ndo wanaita shaggy ...(skumbuki)
Wenyewe wanakuambia "Kiswahili ILIZALIWA Tanzania IKAKUWA MUGONJWA Kenya halafu IKAKUFIA Uganda..........

hahahahahahah lolz.
Kilicho andikwa ndo kimeniacha hoi..
hizo sentensi mbili za mwisho duuhh
sijui ndo wanaita shaggy ...(skumbuki)

Wanaita Sheng'

Nakwambia mazee ni noma sana eti namuulizaa mbona ulido vile jana?

Town wanaita "TAO"
Salary wanaita "Salo"
Majina sasa ndo usiseme Isaack (Izoo),

ukiwa hotel mhudumu anakuuliza 'ume2mana",,,ukiwa kwenye ma3 ukitaka kushuka unasema 'shukisha',,nilienda guest kulala nikauliza asubuhi kuna chai? akasema 'hapa unalala 2 hatupeani' nilicheka mpaka mbavu ziliuma,,,,

Leo nimeDiscover kua Nyinyi waTz mnababaika na sheng yetu

Kwa kiswahili gani mlichonacho? Nikikuta mkenya anaongea na mtu ninayemuheshimu inabidi niondoke taratibu hakawii kutukana akifikiri yupo sahihi halafu ati tunakibabaikia mkuu hapo hamsifiwi "mnanangwa"

Leo nimeDiscover kua Nyinyi waTz mnababaika na sheng yetu

Ati umediscover nini? Kwani shida iko wapi mtu akisemanga ukweli? Nachukua mathree hapo nikasalimie mpango wa kando

Back
Top Bottom