Jamani kiswahili cha Kenya...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani kiswahili cha Kenya......

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Aug 13, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  [HR][/HR]
  Maadhimisho ya siku ya ukimwi Kenya​
  [​IMG]
   
 2. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #2
  Aug 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hahahahahahah lolz.
  Kilicho andikwa ndo kimeniacha hoi..
  hizo sentensi mbili za mwisho duuhh
  sijui ndo wanaita shaggy ...(skumbuki)
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Mimi pia hicho kiswahili cha hao watu wa Kenya kimeniacha hoi na kucheka sana mpaka mbavu zinaniuma sana, huku nilipo ninao wakenya wa kabila la kikuyu basi hicho kiswahili chao waweza kucheka wanachanganya kiswahili na lugha yao ya kikuyu tehtehteh
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,436
  Likes Received: 22,352
  Trophy Points: 280
  wanajua sana marketing hao jamaa. Dunia inaamini hao ndio mabingwa wa Kiswahili
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  Aug 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hahahahahah
  saa nyingine ngumu kwaelewa
  dahhh kazi kweli kweli lolz..
   
 6. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #6
  Aug 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  wanaao amini hivyo , hawajui wanacho kiamini ...
   
 7. Tai Ngwilizi

  Tai Ngwilizi JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2011
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  kuna mmoja aliandika kiswahili kiboovu kwenye fb wall yake, mwenzie aka comment: hey shunga hio kiswahili yako inaharibika sana siku hizi...
   
 8. Tai Ngwilizi

  Tai Ngwilizi JF-Expert Member

  #8
  Aug 13, 2011
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  na kwenye ofisi moja ya serikali kuna tangazo: KWA UDUMA BORA VUA NINJA.
  lol!!!
   
 9. bht

  bht JF-Expert Member

  #9
  Aug 13, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  ile inaitwa sheng ni kiboko....unaweza ongea mbele ya mshua na akatoka kapa....(hasa yale maongezi ya vijana ambayo hawataki mzazi aelewe)
   
 10. P

  Pitahx Member

  #10
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kicuahili cetu kina cekesa thana
   
 11. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #11
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Mie huwa wananiacha hoi tu pale wanaposema "NILIGONJEKA" nakwenda "KWA NYUMBA"
   
 12. Sakoyo

  Sakoyo Senior Member

  #12
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 23, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wenyewe wanakuambia "Kiswahili ILIZALIWA Tanzania IKAKUWA MUGONJWA Kenya halafu IKAKUFIA Uganda..........
   
 13. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #13
  Nov 21, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Hembu rudianga!
   
 14. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #14
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160

  Wanaita Sheng'

  Nakwambia mazee ni noma sana eti namuulizaa mbona ulido vile jana?

  Town wanaita "TAO"
  Salary wanaita "Salo"
  Majina sasa ndo usiseme Isaack (Izoo),
   
 15. M Mahona

  M Mahona Senior Member

  #15
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanaongea kiswahili fasaha kuliko watanzania hao
   
 16. bmx

  bmx Member

  #16
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukiwa hotel mhudumu anakuuliza 'ume2mana",,,ukiwa kwenye ma3 ukitaka kushuka unasema 'shukisha',,nilienda guest kulala nikauliza asubuhi kuna chai? akasema 'hapa unalala 2 hatupeani' nilicheka mpaka mbavu ziliuma,,,,
   
 17. B

  BrownCurtis Member

  #17
  Oct 4, 2015
  Joined: Nov 27, 2014
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo nimeDiscover kua Nyinyi waTz mnababaika na sheng yetu
   
 18. back town

  back town JF-Expert Member

  #18
  Oct 4, 2015
  Joined: Jul 8, 2015
  Messages: 469
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 80
  kwikwi sikiliza nyimbo zetu
   
 19. naiman64

  naiman64 JF-Expert Member

  #19
  Oct 4, 2015
  Joined: Nov 22, 2013
  Messages: 3,730
  Likes Received: 1,286
  Trophy Points: 280
  Kwa kiswahili gani mlichonacho? Nikikuta mkenya anaongea na mtu ninayemuheshimu inabidi niondoke taratibu hakawii kutukana akifikiri yupo sahihi halafu ati tunakibabaikia mkuu hapo hamsifiwi "mnanangwa"
   
 20. Jimena

  Jimena JF-Expert Member

  #20
  Oct 4, 2015
  Joined: Jun 10, 2015
  Messages: 24,482
  Likes Received: 92,051
  Trophy Points: 280
  Ati umediscover nini? Kwani shida iko wapi mtu akisemanga ukweli? Nachukua mathree hapo nikasalimie mpango wa kando
   
Loading...