Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,070
Kuna mwanajamvi hapa JF anajiita Kibolo
japo ni haki yake kamili kujichagulia username apendayo lakini jamani hii inachekesha na kuleta fikara nyingine kabisa...!
Pengine hayuko pekee je kuna username nyingine yenye kufanya ucheke kila uionapo ?tiririka tafadhali