Siyo mshahara kaka ni kamshahara maana hakatulii hata siku moja.dah! kaka kumbe wewe una mshahara? nipige jeki walau na buku tano tu! nime uwawa vibaya!
Du!!!Weka kiasi cha Mshahara ilituchakachue!
Nitafanya hivi!!!!Achana na kuchangia harusi, yaani kwa mwezi arusi nane na zote mchango si chini ya 20elfu??
Hili ni tatizo kwa kweli kaka, lakini nina wasiwasi na mimi nikifikia wakati wa kuoa nitahitaji michango yao, jamii yetu ndio imekuwa hivyo.....lakini kwa hii lazima niwatose.
Mchangie mwenye nyumba wako elfu kumi ya besdei na zawadi ya mtoto na kuhusu ofisi ya ccm sina wazo.
Huu ushauri mzuri sana........lakini namna ya kuigiza ugonjwa ndio ishu.Duh! Mchango wa birthday upotezee. Nenda kwa bosi wako kwa lengo la kuomba ushauri kama ulivyokuja hapa, mwambie kama vipi akukopeshe.
Kama hiyo haifai tafuta ugonjwa ulazwe hospital. Watu watakuwa wanakuletea hela za pole. Make sure hautok hosp hadi harusi, birthday na huo mchango wa sisim ushapita.
Duh! Mchango wa birthday upotezee. Nenda kwa bosi wako kwa lengo la kuomba ushauri kama ulivyokuja hapa, mwambie kama vipi akukopeshe.

duh! Mchango wa birthday upotezee. Nenda kwa bosi wako kwa lengo la kuomba ushauri kama ulivyokuja hapa, mwambie kama vipi akukopeshe.
Kama hiyo haifai tafuta ugonjwa ulazwe hospital. Watu watakuwa wanakuletea hela za pole. Make sure hautok hosp hadi harusi, birthday na huo mchango wa sisim ushapita.
Hii kali, akalazwe wapi? kama hospitalza serikali zimejaa watu wanalala mzungu wa nne, labda wodi ya TB na cholera ndo kuna nafasi.
Na akienda hospital binafsi, malazi peke yake kwa cku si chini ya elfu15....!!