Jamani jf

Mkuu BT mambo? Za kupoteana?
Shem wangu hajambo?
Umekua wa kwanza kwangu kukupa Hi baada ya Jf kututoa Segerea/Isanga/Keko/Ukonga/Maweni/Butimba/Kitengule n.k

mgane Judgement hujambo?...
 
Last edited by a moderator:
kama kawaida yangu...nimepanic kwa sasa...nahitaji muda zaidi...ntawasalim kesho!...missed u ALL...kasoro wewe!
 
amerudi fikra pevu nilikuficha jamii forum mpaka nyumbani nishaitambulisha
 
Mi nlijiua kamchina kangu tu, yani hapa leo naijaribu nasema ndo mara ya mwisho km haipatikani tena basi, nlikua nshanuna
 
Daah! Yaan hta mm nilikosa raha, kumbe addiction inakua namna hii,ndo maana hta wale wala unga ni ngumu kuacha isee.
 
Nilipata hasiri iliyofany nimchukie kila mtu, lol
kumbe kweli mazoea yana taabu zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…