Hapo anamtoa shetani,hakuna tatizo mkuu.Mkono na kifua ..... mmmmmh!!!???
Nami nakupa mtihani ... itazame vizuri hiyo picha kisha nambie MAUDHUI yake yakoje? ....Thibitisha utumishi wake kwanza hatuhitaji maigizo kwa ajili ya kuwachafua na kuwadhalilisha watumishi.thibitisha huo utumishi .!
Thibitisha utumishi wake kwanza hatuhitaji maigizo kwa ajili ya kuwachafua na kuwadhalilisha watumishi.thibitisha huo utumishi .!
Mwanamke kapiga magoti then kainua mikono juu kama anaeombewa .... swali kama ndivyo je huyo aliye mbele yake afanya kazi gani kama c kumuombea?Hakuna kiashirio cha utumishi .MTU yeyote anaweza Fanya hilo igizo.
Tatizo wengi humu jukwaani hukimbilia ku-comment huku mapovu yakiwatoka kabla hata ya kuisoma picha ama ujumbe ulotolewa vizuri ili kuyaelewa MAUDHUI yaliyomoKwani mtoa mada amesema ni MTUMISHI WA KADA IPI? mbona mnatolea mapovu??? 😉 yeye si heading yake kaandika tu JAMANI NYIE WATUMISHI