Jamani Jamani Jamani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani Jamani Jamani!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MwanaFalsafa1, Nov 6, 2009.

 1. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #1
  Nov 6, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Nilikua napitia mtandao wa Global publishers nikaona picha za baadhi ya wananchi wenzetu. Yani pamoja na umasikini wetu siku tegemea kuona makazi kama haya. Maana hata kijijini kwetu hali ni nafuu. MH! Hapo chini ni maelezo toka kwa mtandao wa GPL


  Unaweza ukadhani hapa ni Darfur nchini Sudan lakini ukweli hili ni eneo la makazi katikati ya jiji la Dar es Salaam lilipo eneo la Chang'ombe, wilayani Temeke .Wakazi wa eneo hili wamekuwa wakiishi maisha duni baada eneo hilo kuchukuliwa na mwekezaji mmoja na pesa zao za fidia zilizotolewa awali na mwekezaji huyo kutafunwa na vigogo hali iliyosababisha wakazi wa eneo hilo na mwekezaji kuwa katika mgogoro mkubwa. Sakata hilo limedimu kwa zaidi ya miaka kumi na tisa sasa. Mbali na kuishi maisha duni wakazi hao pia wapo katika eneo la hatari kwani wamezungukwa na matanki ya mafuta ya Petroli pamoja na kemikali zinazotoka katika viwanda vinavyozunguka eneo hilo.Hebu tazama picha hizi 8,9,10 na 11 ujionee jinsi watu hawa wanavyoteseka.  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  Dah! Yani ina sikitisha sana.
   
 2. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #2
  Nov 6, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Hii ndio bongo yetu ipo tambarare, hali inasikitisha kweli.Tena hapo utakuta ni Dar.
   
 3. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #3
  Nov 6, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Its really sad. And then there are people who embezzle billions and have more toilets then they can crap in a year. Najua wote hatu wezi kuwa matajiri but this is way below the standards any human being should be living in.
   
 4. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #4
  Nov 6, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Kidumu Chama Cha Mapinduzi!
  Maisha bora kwa kila Mtanzania!
   
 5. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #5
  Nov 6, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  A lot is missing in this house. Bathroom, kitchen, etc etc.

  Hivi, huyu mwenye hii mali, anafanyaje anapo taka kwenda number 2 or pika chakula?

  Very sad.

  God bless Tanzania.
   
 6. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #6
  Nov 6, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mkuu tujiulize tumlaumu nani na kwa kiwango gani?
  a) Serikali..kwa kiwango gani (%)
  b) Mtu mwenyewe (individual)...kwa kiwango gani (%)
  c) Jamii (community) ..kwa kiwango gani (%)
  watu as individuals lazima wachukie umaskini..watafute namna ya kujikomboa..serikali iweke mkakati tena hata kwa nguvu kukatza nyumba za aina hii popte pale...jamii nzima ione aibu kuwa na nyumba kama hizi..lol
   
 7. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #7
  Nov 6, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mkuu mimi nadhani serikali haiwezi kulaumiwa kwa kila kitu. Ila kuna tunazo ita social welfare programs ambazo serikali inabidi itoe kwa wananchi wake. Sasa ukiwa na serikali ambayo ina skendo za mabilioni kila wakati lazima ujiulize hizo pesa zingeenda kwenye social welfare programs zinge wasaidia watu kama hawa wangapi na kwa kiasi gani?
   
 8. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  MwanaFA1,
  Labda ungetupa maelezo ya picha hizo ambayo nakumbuka GPL wameambatanisha,maana kama zilivyo itakuwa haileweki kama kweli wakaazi wa nyumba hizo wanaishi katika nchi yenye miaka isiyopungua 45 ya uhuru na 15 ya mfumo wa siasa za uchaguzi,mpaka wao wawe wamekosa wa kumchagua kubadili au kujaribu kubadili hali zao.
   
 9. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #9
  Nov 7, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Damn right, ndiyo maana nilisema kila mtu ana lawama kwa kiwango fulani! yaani percentage wise kuanzia mtu mwenyewe, serikali na jamii nzima..lakini kama mtu una sehemu ya hiyo lawama..ikiwa wewe si kilema, etc..lazima ujitahidi kuchukia hali hiyo ndugu..
   
 10. C

  Cool Member

  #10
  Nov 7, 2009
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  No, some times sisi Watanzania ni wavivu. Mbona kule kijijini kwetu mtu hata kama hana pesa ya kutosha anaweza kabisa kujenga nyumba bora ya kuishi? Hao watu wanashindwa hata kujenga kwa nguvu zao nyumba nzuri hata kama ni ya tope? Kule kijijini unakuta nyumba ni ya tope mtu kajenga mwenyewe tena unakuta ni kijana mdogo tu lakini amejenga katika viwango vinavyovutia. Some times serikali tunaionea. Yaani mtu ana nguvu zake anataka ije imjengee?
   
 11. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #11
  Nov 7, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  This is exactly what happens when u live abroad and forget the hardship in Tz. Alafu mtu akikwambia Tz ni nchi maskini unaweza kupigana naye!hahahaha
  kazi kweli kweli!!
  What r u goind to do about it?
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Nov 7, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Come back Jesus, maana katika kuja kwako utaweka usawa kwa wote, matajiri na masikini!..So come soon, the Peace-maker!
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Nov 7, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,407
  Trophy Points: 280
  Oh no...Miafrika Sivyo Tulivyo!!
   
 14. Mauza uza

  Mauza uza JF-Expert Member

  #14
  Nov 7, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 2,042
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Watajenga nyumba saa ngapi wakati kila kukicha ni Miss Ilala ,miss mbagala,miss earth,miss utalii,miss east afrikan.k.
  Sijui one love concert,n.k.
  ........ndivyo tulivyo.
   
 15. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #15
  Nov 7, 2009
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Haya ndo matokeo ya dini inayoitwa uislamu. Watu wanaoa wake wengi na kuzaliana bila mpango huku wakipuuza "elimu dunia" na kuendekeza madrasa. Anayebisha aende sehemu hiyo akapeleleze wanaoishi humo ni wafuasi wa dini gani?
   
 16. October

  October JF-Expert Member

  #16
  Nov 7, 2009
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 2,147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  As Tanzanians we need to set our priorities strait, Kwa kweli hii inasikitisha sana kwa nchi iliyojitawala kwa zaidi ya miaka 48 lakini bado majority ya wananchi ni masikini hohehahe. Kama hali kama hii iko hivi Dar Es Salaam sijui itakuwaje ukeinda vijijini.

  Miaka 48 waliyoiharibu inatosha jamani, muda wa kufanya political experiment kwa watanzania umeisha maana kama wameshindwa ku deliver kwa miaka 48, hata wakipewa miaka 100 hawataweza kubadilika. Hii ni wakeup call kwa watanzania wote kuchukua hatua na kukataa aibu kama hizi, kukataa political experiments ambazo hazifanyi kazi.

  Hivi Tanzania itendelea kuwa masikini mpaka lini? Tutaendelea lini kupitwa na kila jirani yetu anaetuzunguka? What is wrong with us?

  Uchaguzi unakuja next year, Kila mtu afanye uamuzi wa busara.
   
 17. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #17
  Nov 7, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Mkiambiwa pombe sio chai mnasema oooh tumetukanwa.
  Umesoma post inayoambatana na picha hizo??

  Unaweza kumlaumu mwananchi kwa kuporwa ardhi au kiwanja chake akauziwa mwekezaji??

  Nadhani unapaswa nawe kwenda mirembe ukapimwe kabla ya kurudi dar
   
 18. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #18
  Nov 8, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  :rolleyes:Maisha Bora Kwa Kila Kigogo! Tah tah tah
   
Loading...