zamani nilikuwa nikiimba huo mwili unasisimka kwa uzalendo niliokuwa nao wakati huooo lakini kwa sasa imekuwa sauti pweke nyikani hata kope hazistuki
ha ha ha sasa hivi hata hauutamani? inamaana mapenzi yako kwa tanzania yamepungua Jiwe Linaloishi
naskia wewe ulikuwa hedgel wa cacico korogwe gels kisha mkaolewa nyumba moja,aisee...ya nafakaaaaa....
Nasema kwa kinywa na huku nikifikiriiiii
nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzaniaaaaaa
majira yetu hayaaaa
yangekuwaje sasa
utumwa wa nchi nyerere ameukomeshaaaaaaaaa
chemchem ya furaha amani tumaini
nitalalamika kukuacha tanzaniaaaaaa
majira yetu hayaaaa
yangekuwaje sasaaaa
utumwa wa nchi nyerere ameukomeshaaaaaa
nilikuwa nachukia assembly lazima kuimba hii, tanzania tanzania, na wimbo wa taifa, daily.....
Dah! Badili tabia umetisha, nikupa na like kabisa
vijana wa siku hizi hawajui hizi nyimbo, warudishe mchakamchaka na JKT ili watz tujenge utaifa wetu upya
Nasema hivi Sikutaki,...Hata unibembeleze vipi nimekuchoka na wimbo wako wa zilipendwa,nataka bongo flevaTanzania Tanzania, Nakupenda kwa moyo wotee
Nchi yangu Tanzania, Jina lako ni Tamu sana
Nilalapo nakuota wewe, Niamkapo ni heri mama wee
Tanzania tanzania, Mola awe nawe Daima
Tazama ramani utaona nchi nzuri
Yenye mito na mabonde mengi ...