Wanaowaza ni waliokuwa uvccm na chama wakapewa UDC!
Wakurugenzi wa wilaya na makatibu tawala wa wilaya walioteuliwa wakiwa na miaka pungufu au 45 waliingizwa kwenye mkataba wa kudumu. Watapoteza VXR tu, watarudishwa utumishi au tamisemi au wizara yoyote kwa taaluma zao wanaenda kutumia pick up!
Serikalini patam sana, upate uteuzi ukiwa Mtumishi wa serikali hadi raha.
Wale makanali watarudishwa kikosini, walimu wanarudi kwa ras, usalama wanarudi mikoani na makao makuu, Nk.
Uvccm mnaenda kulima.