hizo fito ni balaa,
kwa utaratibu huo ndio maana vipaji na ubunifu wetu utotoni kabla ya kuanza shule vilipotea maana waalimu wa aina hii wanaleta hofu ya kuogopa kujaribu kwa watoto, huwezi kuuliza hata swali kama mzigo kama huo unapumua kwa pembeni yako.
zimechangia kutengeneza taifa la watu waoga wa kujaribu mambo mapya.
Ndibalema umesahau kwamba ubao ni mrefu kuliko mwalimu sasa kinachofanywa na mwl ni kutafuta pointer kwaajili ya kumsaidia kupoint anapotaka kuelekeza jambo.
BTW wawezakuta mwl wa watu kajibebea hizo kama pia teaching aid mnake watoto wa siku hizi ukiwatuma hawaleti na wazazi wanalalamika kinachofanyika mwl unajitaftia teaching aid mwenyewe. am sure hyo atakuwa ni mwl wa physics na anataka hizo kwaajili ya kudemonstrate practical hasa za za gravitational force unaweza kuta maskini ya Mungu ana rula moja tu ya mita moja sasa anachokifanya ana improvise fimbo hizo kwa urefu sawa na rula na kuziekea mark as if ni rula ndo anawapa watoto kupimia urefu wa kamba ya pendulum bob. ama kweli ualimu kipaji na sio kila mtu anacho.
hapa watu wote mmesha mhukumu kwamba anachapia lkn ukweli yeye anazitumia kwa njia nyingine jamaniii nimeumia sana
sio kama unavyofikiri miss chagga, umeona mwl anafundisha physics huyu, imagine shule pengine haina rula za mita moja
kama ana rula moja basi anatumia fimbo ku improvise ziwe sawa na rula ili azitumie kwaajili ya practical demonstrations sasa unategema afanyeje?? msiwaze mabaya tuu juu ya waalimu jamani hiki ni kipaji na sio kila mtu anacho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.