CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Chezeiya Mwanza wewe.... Uko wapi nikupe maujanja ya kufanya akutafute??
Wanajamvi nipo safarini Mwanza kikazi ajabu ni kwamba jana mke wangu tulipishana kauli kidogo amezira hataki kupokea simu,nina wasiwasi sana
Nisamehe dada kama nimekukosea, ila kwa haya majibu yako ninachelea kusema ndoa utaisikiliza kwa marafiki tu.
Nitolee gundu we ndo mungu tuseme unapanga...milaana yako hainipati ng'ooo...
Buzuruga
Na wewe pia unapiga?
Hataki kupokea simu (keypoint) nifanyeje