Jamani huyu mwanamke hataki kuongea nami

Jamani huyu mwanamke hataki kuongea nami

ukirudi mshushie kipondo kama huyu hapa
 
Attachments

  • 1411072693461.jpg
    1411072693461.jpg
    45.7 KB · Views: 148
Kaa kimya kwa takribani wiki1, alafu urudi utuambie tena kipi kimetokea!
 
Mkui jaribu kutumia namba ngeni....

Akipokea tu mwambie mmepata ajali...

Akiulizia zaidi kuhusu hali yako, kata simu na wala usipokee teba simu yake kwa muda....

Put her in line as a reason for bad journey..

Life goes on.
 
hahaha wanawake mnavisirani nyie tena akiuchuna ndo anaongeza matatizo heri

aendelee kumtafuta tu hata kama bidada hataki kupokea simu hii mbinu ya kivita itamsaidia mleta mada akirudi nyumbani mke hatapata cha kulaumu na akilaaumu atamjibu"NINAKUPIGIA HUPOKEI SASA ULOTAKA NIFANYEJE???"bidada atakosa cha kusema

lakini
mleta mada akiuchuna asishangae kuambiwa na Bidadaz haya maneno"HUYO MAL@Y@ WAKO HUKO MWANZA KAKUSHIKA KWELIKWELI MPAKA UMENISAHAU"

mrembo tumboo nikuulize swali la kizushi ingekuwa ni wewe "msela" kakuchunia ungeanza kumtafuta wewe.......!!!!

BTW how was ur day

Mweee nisingemtafta
 
Last edited by a moderator:
Yalikuwa mazungumzo tu kwenye simu kaniuliza unarudi lini nikamwambia sijui but within a week akaanza kung'ang'ania nimtajie siku exactly mvutano ukaanzia hapo nikakata simu,tokea hapo hapokei simu

Sasa kama mwanaume wa ukweli kwanini usiwe na specific day ya kurudi??ina maana hujitambui siku gani utamaliza kaz zako na kurudi kwa mkeo.?hata ingekua mie ningekununia vizuri maana unaweza ukawa unachenga kusema lin unarudi nyumban ili ufanye mambo ako mengine..una kosa sana tena muombe mkeo msamaha
 
Haya majibu ni ya mtu ambaye hana ndoa, unafanya imagination.
 
Sasa kama mwanaume wa ukweli kwanini usiwe na specific day ya kurudi??ina maana hujitambui siku gani utamaliza kaz zako na kurudi kwa mkeo.?hata ingekua mie ningekununia vizuri maana unaweza ukawa unachenga kusema lin unarudi nyumban ili ufanye mambo ako mengine..una kosa sana tena muombe mkeo msamaha

Si unajua kazi za watu nimeambiwa haitazidi wiki,thats why sikuweza kumwambia exact day
 
Ulitaka nijibuje na wewe..em jiheshimu si lazima u-quote comment yangu...mxeeeew

Nisamehe dada kama nimekukosea, ila kwa haya majibu yako ninachelea kusema ndoa utaisikiliza kwa marafiki tu.
 
Back
Top Bottom