Jamani huyu mwanamke hataki kuongea nami

Jamani huyu mwanamke hataki kuongea nami

Pole sana kngz watu wanasema migongano huleta afya katika mapenzi atakuwa na hasira tu lakini natumai mambo yenu yatakuwa sawa muda si mrefu hakuna taabu bali ni vigumu sana kuvumilia kwa maumivu iliyokuwa nayo kwa sasa kwani kila ukipiga simu hapokei kaza moyo mpaka kesho mambo yatabadilika.
 
mtumie text za kumtakia wakati mwema,usiku mwema, kumpa pole na majukumu ya kifaria na kumfariji n.k
atakupigia mwenyew
 
Ila wanaume mnaboa kisawasawa...haswaa mnapokua safarini...si ajabu ulimchefua kisa michepuko uko ulipo

Yalikuwa mazungumzo tu kwenye simu kaniuliza unarudi lini nikamwambia sijui but within a week akaanza kung'ang'ania nimtajie siku exactly mvutano ukaanzia hapo nikakata simu,tokea hapo hapokei simu
 
Ajabu ni kwamba hajawahi kuwa mtu wa kutopokea simu au kuzira
 
wapigie kampuni usika kama tigo au voda wampe onyo
ingekua yupo jf ningekwa,bia ongea na mods

sasa kwa hiyo watfute mabos wa sim hizo
 
inaboaaaaaa to the maxmum u tumie mtu msg asijibu kwa zaidi ya lisaaa au upige asipokee na harudishi jibi

walah vil nakereka awwwww yaan sipendi na siwez piga kimya nitakeambia ukweli HIZO NI DHARAU
 
Jaman mi si mdanganyi....ivi unazan akiuchuna uyo mwanamke hata mtafta???.......mi mzima lol upo

hahaha wanawake mnavisirani nyie tena akiuchuna ndo anaongeza matatizo heri

aendelee kumtafuta tu hata kama bidada hataki kupokea simu hii mbinu ya kivita itamsaidia mleta mada akirudi nyumbani mke hatapata cha kulaumu na akilaaumu atamjibu"NINAKUPIGIA HUPOKEI SASA ULOTAKA NIFANYEJE???"bidada atakosa cha kusema

lakini
mleta mada akiuchuna asishangae kuambiwa na Bidadaz haya maneno"HUYO MAL@Y@ WAKO HUKO MWANZA KAKUSHIKA KWELIKWELI MPAKA UMENISAHAU"

mrembo tumboo nikuulize swali la kizushi ingekuwa ni wewe "msela" kakuchunia ungeanza kumtafuta wewe.......!!!!

BTW how was ur day
 
Last edited by a moderator:
it happens..... usijali wala usiweke mawazo potofu juu yake.... kesho tu hadi mchana mtakuwa kama kawaida yenu... ila tuma sms za kufuta hasira sio za kumlaumu zaid

Nimehisi bado ana hasira so ningoje mkuu
 
Mtafutiye mwanamke mwengine umtumiyesauti atakuja hata 8 usiku.
 
hiyo lazima asikilize na hata jibu vilevile chezea kununa wew

Sisi wenye nokia tochi hizo voice notes ndio tunatumia wapi?..nmegeuza mpk kwny betri sioni sehemu ya voice note
 
mtumie sms mwambie kuna zawadi 2, nyumba au gari achague moja. atakupigia tu
 
Back
Top Bottom