Jamani huyu model Jenipher kama kashushwa

mashallah, mzuri jamani ila izo nywele si angecha za asili tu lazima abandike?
 
Ama kwa hakika Bongo kuna warembo wazuri si mchezo...





Mod, nadhani ingefaa kuondoka hii kitu na kupeleka kurrrrrrreeeeeeeee pembezoni wasikoingia watoto, maana hapa huwa tunaruhusu watoto kutalii. Wanaoposti vitu hivi wajua lile jukwaa la ucho choroni wasikoruhusiwa watoto kutalii liliwekwa kwa makusudi na hivyo utaongea upendavyo bila kumung'unya maneno, hata tubaki huru na familia zetu. Thanks a lot JF members and visitors
 
hapa tunaongelea uzuri wa kuchakachua so tabia does not matter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…