Jamani huyu model Jenipher kama kashushwa

ULSHAWAHI kuingia kwenye nyumba sebule balaaa chooni sasa,kuchafu uuuuuuuuu,hata maji hakuna ndio atakuwa huyu ssa
 
Huyu lazima awe anatoka mkoa wa Manyara wilaya za Babati,Mbulu na Hanang huyu bado tembelea huko uone warembo hawavumi lakini wamo
 
Bongo kila mtu model? Wazungu wanamkonsider mnene huyo, shavu kwa victoria secret sijui!
 
FF, Hayo ni kweli tupu na kwa kuongezea, hata ladha hubadilika!.
Nikiwa safarini, kuna mahali nilipita katika zile ajali za " one night stop" binti akiwa natural, sio siri ilikuwa ni 'asali!.
Baada ya kipindi kirefu, nilikuja kupata safari ya huko tena, baada ya kuonja ile asali enzi zile, nikadhamiria, this time nitachonga mzinga!, nikadhamiria isiwe tena "one night stop"!.

Binti kufika, siye yule tena!, mzungu si mzungu, mmanga sii mmanga, zeruzeru ni afadhali!, kwanza nilichefuka, ila kwa vile nilishampania sana, nilipokumbuka ile asali, nikapiga moyo konde, kuwa chapo kajichubua sana, hayo ni maisha yake, mimi hayanihusu ninachojali ni asali tuu!.

Basi zoezi likafuatia, kwa kuanzia smell ikadistrust furaha yangu, ilipofika wakati.... nikakuta hakuna cha asali wa nini!, ni kama kile kipande cha mua cha juu!.

Nilijiuliza bila kupata majibu, ila baada ya kupita scenario kama hizo kwa wengine wawili watatu, ndipo nika reach conclusion, wadada zetu wanaojichubua, ule mkorogo huondoka na ladha yote na kubakiza makapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…