Huu ni urembo wa kwenye mikebe na nywele za maiti.
Tazama hizo nywele hala nambie ndio alizozaliwa nao? Tazama hiyo rangi ya mwili? Mbona magoti meusi?
Hivi kwa nini tunamkosoa Mungu? Halafu tunajidanganya kuwa ni wazuri?
Hizo nywele za wafu au za bandia, hutowa harufu hata ufanye nini.
Na hizo dawa za kujichubuwa ngozi ndio usiseme. Ngozi ikichubuliwa hunuka ajabu, kama unabusha kaa karibu na mwanamke alie jichubuwa utanambia! Wananuka harufu ya kiajabu, hata ajitie manukato harufu ya ngozi iliyokufa huwa haiishi.
Tuwekee picha za mabinti walio natural halafu ndio tusifie, sio hivi vinuka ngozi!