Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,473
- 757
Kweli mzuri, ningependa awe wangu wa milele!
Tanzanian women vs Nigerian women.kuna blog moja ya mdada wa kinigeria kuna post inawalinganisha mademu wa kibongo na nigeria, wepi wakali!!!!!!!!!!!
Uzuri wa nyumba choo yakheeee kama hakuna choo kubwa mi hapana ona zuri.
huyo Jenipher hamna kitu yani ni maji matupu humo. believe me.
Ama kwa hakika Bongo kuna warembo wazuri si mchezo...
kumbuka, nje na ndani ni vitu viwili tofauti.