Jamani huyu dada nimweleweje?

Jamani huyu dada nimweleweje?

Sim cards zinauzwaje siku hizi? Hata kama landline badili namba unless bado unampenda.
Mkuu nishabadilisha kama mara mbili hivi ila nashangaa namba yangu anaipata wapi
 
Tafuta tindikali weka chini ya kitanda alafu akija mgegede...ukishamgegeda mmwagiwe tindikali kwenye papuchi..hatarudia tena huyo
Labda km unataka kufungwa maisha. Ndiyo ujaribu hivyo.
Ww ni mwalimu? Mbona mawazo yako na taaluma hayashabiani?
 
una uhakika hutak kufanya nae ngono?
 
ndg wana Jf kuna binti mmoja nilikuwa nae ktk mahusiano miezi kadhaa zilizopita, mahusiano yetu yalikuwa ya malengo ila kutokana na tabia zake za ukorofi niliamua kumwacha sasa baada ya hapo amekuwa msumbufu kweli kweli mara anitxt ati japo sitomuoa tuendelee kufanya mapenzi tu.

Sasa wanajamvi naombeni ushauri nifanyeje mimi? inakukaje mtu mlishaachana yeye akahitaji mfanye ngono?

Japo kiswahili umekivunja wewe endelea kupiga mzigo ila kimachale
 
Wewe hebu kamatia watu wanatafta vipoozeo wewe unaringa
wewe unaona ni sawa kuendelea kumbinua binua binti wa watu pasipo malengo naye? Binasfi hili jambo limenitatizo ndiyomaana nimelileta hapa mnishauri.
 
Usijaribu kufanya kitu km hicho. Anajua umemtosa kwahiyo njia pekee ya yy kurudiana na ww na kumuoa ni mimba.
Kwahiyo anakuandalia mimba, ukichomeka tu ww ni baba kijacho.
Na ana amini ukimpa mimba utamuoa.
Maamuzi ni yako
Hii theory nimeipenda...
Maybe kuna ukweli... katika hili.
 
ndg wana Jf kuna binti mmoja nilikuwa nae ktk mahusiano miezi kadhaa zilizopita, mahusiano yetu yalikuwa ya malengo ila kutokana na tabia zake za ukorofi niliamua kumwacha sasa baada ya hapo amekuwa msumbufu kweli kweli mara anitxt ati japo sitomuoa tuendelee kufanya mapenzi tu.

Sasa wanajamvi naombeni ushauri nifanyeje mimi? inakukaje mtu mlishaachana yeye akahitaji mfanye ngono?

Nipe namba zake nimstili tu
 
muuulize Illuminata Ana experience ya kuacha tho yeye alikutana mahala X wake akiwa ameshaoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom