Jamani huyu dada nimweleweje?

Jamani huyu dada nimweleweje?

muite mkae muongee mwabie black and white kwa upendo lakini
 
ndg wana Jf kuna binti mmoja nilikuwa nae ktk mahusiano miezi kadhaa zilizopita, mahusiano yetu yalikuwa ya malengo ila kutokana na tabia zake za ukorofi niliamua kumwacha sasa baada ya hapo amekuwa msumbufu kweli kweli mara anitxt ati japo sitomuoa tuendelee kufanya mapenzi tu.

Sasa wanajamvi naombeni ushauri nifanyeje mimi? inakukaje mtu mlishaachana yeye akahitaji mfanye ngono?
Nipe namba yake.
 
Serious kabisa hilo jambo unakuja kutaka ushauri kabisa ? Kweli humu ndani wajinga ni wengi kuliko ma great thinker
 
Endeleeni tu kufanya ili apate mimba umjue yeye ni nani!!
 
ndg wana Jf kuna binti mmoja nilikuwa nae ktk mahusiano miezi kadhaa zilizopita, mahusiano yetu yalikuwa ya malengo ila kutokana na tabia zake za ukorofi niliamua kumwacha sasa baada ya hapo amekuwa msumbufu kweli kweli mara anitxt ati japo sitomuoa tuendelee kufanya mapenzi tu.

Sasa wanajamvi naombeni ushauri nifanyeje mimi? inakukaje mtu mlishaachana yeye akahitaji mfanye ngono?

Fanya unachoweza kufanya kama unaona kinaweza kufanyika
 
mi nilishaipata hiyo fursa niliitumia ipasavyo kwa hyo endelea kwa wakati wako target iko mbele piga papuchi hiyo h acha kujivunga
 
ndg wana Jf kuna binti mmoja nilikuwa nae ktk mahusiano miezi kadhaa zilizopita, mahusiano yetu yalikuwa ya malengo ila kutokana na tabia zake za ukorofi niliamua kumwacha sasa baada ya hapo amekuwa msumbufu kweli kweli mara anitxt ati japo sitomuoa tuendelee kufanya mapenzi tu.

Sasa wanajamvi naombeni ushauri nifanyeje mimi? inakukaje mtu mlishaachana yeye akahitaji mfanye ngono?


yaani unakataa papuchi za bure???mkune babaaa..hapo lazima kakutana na wale wanaume wa dar so anakumbuka show zako
 
Huyo naye anadalili za ubabe[emoji23][emoji23][emoji23] anyways mi naona muwe kama kaka na Dada ingependeza Maana naona kama kuna mtego.....mwenye macho haambiwi tazama
 
Mkuu nishabadilisha kama mara mbili hivi ila nashangaa namba yangu anaipata wapi
mpaka umefikia hatua ya kubadilisha line it means hutaki mawasiliano nae so haina haja ya kujibu texts wala kupokea simu, ova
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom