Jamani huu si ni udhalilishaji kwa zitto kabwe

Jamani huu si ni udhalilishaji kwa zitto kabwe

nyimbag

Member
Joined
Feb 28, 2015
Posts
41
Reaction score
17
JAMANI GAZETI LA T DAIM HUU NIN UDHALILISHAJI KWA ZITTO KABWE.jpg:A S 465::eyebrows:
HATA KAMA MMEMFUKUZA CHAMA LAKINI KUMCHORA HIVI SI SAWA NA KUMDHALILISHA NYINYI WATU WA CASEMA
 
Katuni ya zamani hii, kachorwa na Chama?
 
Naona bwana tundu jana kamalizi hilo salawili..!!
 
Sasa hivi kavuliwa hadi hilo kufuli
 
Chadema acheni ujinga mnawapa nafasi ccm ya ushindi acheni kulipoteza jembe ilo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom