Nyie ndio mnaotuegemeshea midushe yenu kwenye daladala.
....pole ila ndo urijali huo.
Mkuu wewe ni mzima kabisa, hali hiyo hujitokeza kwa mwanaume yeyote ambaye hana mahusiano ya kimapenzi msichana/mwanamke. Hivyo unaonekana wazi hata hapo ulipo hauko kwenye mahusiano, pia unaonekana ni muumini mzuri wa kupiga punyeto.
Mimi nina umri wa miaka 27 sijaoa, huwa nina hisia za haraka sana.
Nikigusana na jinsia ya kike huwa uume husimama ,hata nikiwa naongea na rafik yangu wa kike huwa uume husimama.
Nakumbuka siku 1 natoka kariakoo ili nishuke magomeni usalama,nikashndwa kushuka kwa kuwa uume ulikuwa umesimama,nilikuwa nimekaa na mdada.
Nikaenda kushuka manzese darajani. Huwa mda mwingne nakosa raha. Ndg wana JF, huu ni ugonjwa au nguvu za kiume zimenizidi?. Naombeni ushauri wenu kwa kweli ili nisije aibika .
Natangulia kutoa shukrani,kwa mtakaonipa ushaur nini cha kufanya. MUNGU awalinde.
Kabla sijakushauri, Naomba leo wakati wa taarifa ya habari ya saa 2 usiku, ukae na mama au dada zako, afu utuambia ulifilaje
Koooote nimekuelewa....nilivyofika hapo kwa red sikujua ulikuwa una maana gani!!
1. uli- feel aje...
2. ulifiraje...
Hahahahaha we mwanamke umeharibika
bila shaka na ndoto nyevu mia mia kila siku!.. lol
ogopa sana unaota unamgonga mdada wa jirani, yule ambaye unashindwa kumwambia kuwa umemwangukia!.. dadeki!
Tuitunze sana mifugo yetu km muzi, kondoo, kuku n bata.. hahahhaaa! hope umeelewa kitu hapa!
Nyie ndio mnaotuegemeshea midushe yenu kwenye daladala.
....pole ila ndo urijali huo.
C uoe tu mkuu.
Koooote nimekuelewa....nilivyofika hapo kwa red sikujua ulikuwa una maana gani!!
1. uli- feel aje...
2. ulifiraje...