Jamani huu ni ugonjwa ama ni nini?

Jamani huu ni ugonjwa ama ni nini?

Koooote nimekuelewa....nilivyofika hapo kwa red sikujua ulikuwa una maana gani!!
1. uli- feel aje...
2. ulifiraje...

hahahaaaa tisha sana nazani alimaanisha ana feel aje
 
badala ya kushukuru.uko fresh we inahc ugonjwa wenzio jogoo wao hawik kabsaaa ww unashangaa
 
sio wewe tu ni vijana wengi wana hii hali. Nadhan kila ukimuona jinsia ya kike unawaza ngono ndo hapo tatizo linakuja. Jaribu kucontrol mawazo na hisia zako.
Wapo vijana akiona jinsia ya kike anamtazama uchi wake, anamvua na anafanya nae mapenz (KWA MAWAZO/HISIA) ndo mwisho wa siku mambo kama haya yanawatokea.

Hii technology ya kumvua mtu nguo ki hisia ni ya hali ya juu...

Isitoshe kufanya nae mapenzi ki hisia loooh itakuwa ni uchawi kabisa..😕😕😕
 
wewe unaonekana una nyege sana hiv vitu kwako inaonekana ni adim sana ndo maana!!kwa huo umri cio normal tafta dem ambae utakua unamla mara kwa mara itaisha!!hil tatzo huwa pata vijana ambao ngono kwao ni adimu sana
 
Mimi nina umri wa miaka 27 sijaoa, huwa nina hisia za haraka sana.

Nikigusana na jinsia ya kike huwa uume husimama ,hata nikiwa naongea na rafik yangu wa kike huwa uume husimama.

Nakumbuka siku 1 natoka kariakoo ili nishuke magomeni usalama,nikashndwa kushuka kwa kuwa uume ulikuwa umesimama,nilikuwa nimekaa na mdada.

Nikaenda kushuka manzese darajani. Huwa mda mwingne nakosa raha. Ndg wana JF, huu ni ugonjwa au nguvu za kiume zimenizidi?. Naombeni ushauri wenu kwa kweli ili nisije aibika .

Natangulia kutoa shukrani,kwa mtakaonipa ushaur nini cha kufanya. MUNGU awalinde.

uume kusimama ni muendelezo wa unachokiwaza ubongoni...so tatizo sio uume kusimama tatizo ni kuwaza waza sana ngono kila dakika..unajua the mind is the battleground....pigana hiyo vita ya kuzuia mdindo wa mara kwa mara kwa kuchange mind yako .."do not be conformed to this world, but be ye transformed by the renewing of your mind.." u got your Bible, right?
 
Ni ugonjwa wa akili tu kama magonjwa mengine... Sexual Psychotic disorders

Cha msingi ni ku control mawazo yako unapokuwa karibu na wanawake... Afu tafuta wa kupiga kupunguza hizo nyege mshindo....! Usije ukabaka...!
 
Mimi nina umri wa miaka 27 sijaoa, huwa nina hisia za haraka sana.

Nikigusana na jinsia ya kike huwa uume husimama ,hata nikiwa naongea na rafik yangu wa kike huwa uume husimama.

Nakumbuka siku 1 natoka kariakoo ili nishuke magomeni usalama,nikashndwa kushuka kwa kuwa uume ulikuwa umesimama,nilikuwa nimekaa na mdada.

Nikaenda kushuka manzese darajani. Huwa mda mwingne nakosa raha. Ndg wana JF, huu ni ugonjwa au nguvu za kiume zimenizidi?. Naombeni ushauri wenu kwa kweli ili nisije aibika .

Natangulia kutoa shukrani,kwa mtakaonipa ushaur nini cha kufanya. MUNGU awalinde.

We jamaa ushazin Mara kibao...
 
Ni ugonjwa wa akili tu kama magonjwa mengine... Sexual Psychotic disorders

Cha msingi ni ku control mawazo yako unapokuwa karibu na wanawake... Afu tafuta wa kupiga kupunguza hizo nyege mshindo....! Usije ukabaka...!

wazo zuri mkuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom