Jamani huko Kenya corona imepungua?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,600
Nauliza tu nikiwa kama mtanzania mzalendo maana juzikati tuliambiwa Corona imepamba moto na county kadhaa ziko kwenye lockdown.

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Kazi Iendelee!
 
Nauliza tu nikiwa kama mtanzania mzalendo maana juzikati tuliambiwa Corona imepamba moto na county kadhaa ziko kwenye lockdown.

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Kazi Iendelee!
Achana na mambo ya Kenya wewe! Njoo hapa Tanangozi nikupige ofa ya ulanzi! 🍻Nitakaa kwa siku mbili. Karibu sana kada mtiifu wa ccm tujumuike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…