Jamani hizi code

Jamani hizi code

hehehe mkuu hebu vaa miwani ya kumoyo utaiona tu ninachomaanisha vipi ushampa elimu ya uraia bibi na babu kule kijijini

ah bibi na babu ndio basi tena kama mjukuu naona manyota tu:A S-confused1:
 
samahani mimi naomba msaada kama naweza kuingiza game la gb4.14 kwenye cd ya 4.7bg
 
wahashimiwa hebu tusaidiane tuongeze efficiency kwenye loops ili wengi wapate elimu ya m4c
 
Back
Top Bottom