Msigwaem.ueuo.com
Member
- Jun 13, 2013
- 34
- 10
Kutokana na wimbi linalo kabili vijana kwa sasa asilimia 95% ni ajira. nikweli
Lakini kule vyuoni kuna kozi moja hufundisha inaitwa Entrepreneurship (Ujasiliamali).
Hii kozi kwanini hufundishwa kama ajira zipo mtaani?
Ni swali rahisi ila rahitaji kuumiza kichwa ili kupata majibu yake.
ndio ukombozi kwa vijana wa karne hiiiii
mnasemaje wadau?