PesaNdogo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 1,992
- 1,294
Mafundisho ya dini yanaelezea kama inawezekana au haiwezekani?
Ndio yanaeleza, maana huko ndo kuna definition ya upendo
Mafundisho ya dini yanaelezea kama inawezekana au haiwezekani?
Kwa hiyo mpendwa, mapenzi yangu kwako na wapendwa wengine unayaita unafiki? I'm hurt.
Na mm nasubiri jibu
Eti umhudumie alafu asikupe kiunganishi 😀
Haiwezekani hata kidogo,mtu anaekupenda bila sex ni muongo, mnafiki, mzushi, mkatili na anafaa kupuuzwa
Kwa hiyo mpendwa, mapenzi yangu kwako na wapendwa wengine unayaita unafiki? I'm hurt.
Na mm nasubiri jibu
Habari wana jf wenzangu, mimi swali langu ni Eti mapenzi bila sex inawezekana?
Ni sawa na kumiliki gari ila unatembea kwa mguu, hapana kwakweli ni bora uuze hilo gari kwa vyuma chakavu likatengenezwe majiko
haiwezekani/ inawezekana
Nilijua tupo kwaya moja. Hata huko umetuhama mpendwa?Nikitoka kwenye kwaya nitawajibu wapendwa
Lol auta ndio nini?
Mimi pia, hivi kweli mama mchungaji ni wa kututenda hivi?
Mafundisho ya dini yanaelezea kama inawezekana au haiwezekani?
Saitaa.....
Umeanza kunena kwa lugha au? Maana nimebaki njia panda..
Mkuu Upendo huo unaouongelea una maana pana sana..Na watu wengi hatuuishi huo upendo..Nadhani labda tuje tu kwenye uhalisia......Je mahusiano bila sex yanawezekana?..Kwa ushahidi wa yale tunayoyaona/kuyasikia kwenye jamii inayotuzungukaNdio yanaeleza, maana huko ndo kuna definition ya upendo
Mimi pia, hivi kweli mama mchungaji ni wa kututenda hivi?
Teh teh...Mpendwa kwaya asubuhi yote hii..Mbona unatutenga lakiniNikitoka kwenye kwaya nitawajibu wapendwa
Naaaam nimeshukiwa
Teh teh...Mpendwa kwaya asubuhi yote hii..Mbona unatutenga lakini
Sawa Mpendwa..Btw mi sitaki kuwa muongo,mnafki na makatili..Ntakutafuta tutimize andiko lako mpendwaSi unajua mbali na kwaya pia nahudumia waumini ndo maana nawahi