Jamani hivi ile dawa ya Corona kutoka Madagascar iliishia wapi?

Tulimumu

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
14,305
12,969
Kuna dawa ililetwa kwa mbwe mbwe sana kutoka Madagascar kwa kutumia dege letu na tukaambiwa ipo katika utafiti lakini wakati huo hupo tukamuona mzee wa jalalani akiwa amepose akiinywa bila tashwi shwi.

Sasa katika hali ya sasa tunapoambiwa kaugonjwa kapo ile dawa iko wapi? Msijipoteze mkafikiri tumesahau tupeni jibu.

FB_IMG_15892629981088060.jpeg
 
Kuna dawa ililetwa kwa mbwe mbwe sana kutoka Madagascar kwa kutumia dege letu na tukaambiwa ipo katika utafiti lakini wakati huo hupo tukamuona mzee wa jalalani akiwa amepose akiinywa bila tashwi shwi.

Sasa katika hali ya sasa tunapoambiwa kaugonjwa kapo ile dawa iko wapi? Msijipoteze mkafikiri tumesahau tupeni jibu
View attachment 1687691
imehifadhiwa kwenye mabox uliyoyaona.

kukilipuka sana tutapewa
 
Kuna dawa ililetwa kwa mbwe mbwe sana kutoka Madagascar kwa kutumia dege letu na tukaambiwa ipo katika utafiti lakini wakati huo hupo tukamuona mzee wa jalalani akiwa amepose akiinywa bila tashwi shwi.

Sasa katika hali ya sasa tunapoambiwa kaugonjwa kapo ile dawa iko wapi? Msijipoteze mkafikiri tumesahau tupeni jibu
View attachment 1687691
Wawape! Nyie ni nani.
Waziri aliyezileta alisema wazi kuwa ndege ya rais haiwezi kwenda Madagascar ikaleta dawa ili wewe unywe! Jitahidi sana kutunza kumbukumbu.
 
Back
Top Bottom