Jamani hivi ile dawa ya Corona kutoka Madagascar iliishia wapi?

Kuna dawa ililetwa kwa mbwe mbwe sana kutoka Madagascar kwa kutumia dege letu na tukaambiwa ipo katika utafiti lakini wakati huo hupo tukamuona mzee wa jalalani akiwa amepose akiinywa bila tashwi shwi.

Sasa katika hali ya sasa tunapoambiwa kaugonjwa kapo ile dawa iko wapi? Msijipoteze mkafikiri tumesahau tupeni jibu.

Amekunywa yote bwana mimacho muimba mapambio kusifia mtu mpaka anamuita mheshimiwa Mungu.

Yule profesa mpumbavu sana
 
Ile dawa alipewa mgonjwa was taifa aliyekufa na kufariki kama sio kututoka tarehe 17 march mwaka huu

Pongezi za dhati & wazi ziende kwa malaika mtoa roho
 
Kuna dawa ililetwa kwa mbwe mbwe sana kutoka Madagascar kwa kutumia dege letu na tukaambiwa ipo katika utafiti lakini wakati huo hupo tukamuona mzee wa jalalani akiwa amepose akiinywa bila tashwi shwi.

Sasa katika hali ya sasa tunapoambiwa kaugonjwa kapo ile dawa iko wapi? Msijipoteze mkafikiri tumesahau tupeni jibu.

Unaona hata huyo aliyeibugia akiwa kule Antananarivo kawa kimyaaaa! Kapotea na dawa yake.
 
🤣🤣🤣
629981088060.jpeg
 
Back
Top Bottom