Jamani hili linawezekana kweli?

Jamani hili linawezekana kweli?

na kesho ukianza kulipa 40,000 ukakatiwa matangazo baada ya wiki usije na uzi wa malakamiko. naanza kuelewa sababu ya watu kuja na hoja za tanesco kupandisha bei isivyo kawaida

hiyo halina shaka mkuu, endapo wakinidai makato ya malimbikizo nawahama narudi nilipokuwa uzuri kule zuku niliki'scan nikabahatika kupata free channels zaidi 80...kwa hiyo hata wakinikatia zuku nauhakika wa kuendelea kuangalia sema local channel ndo nitazi'miss
 
kwa hali hii wewe u sehemu ya raia wengi wenye maisha ya kupenda dezo! kumbuka watoa huduma wanatoa kodi na wanaendesha biashara hiyo kwa ghara kubwa nje ya leseni na itifaki za kodi. sasa mkuu kwa hali hiyo ukibahatika kuwaza mkurugenzi au wenye hisa wanalipa gharama za uendeshaji kwa kutarajia makusanyo ya sarafu za ving'amuzi kikiwemo chako unadhani utafaa kubatizwa jina gani? MWIZI/FISADI/TAPELI/MKWEPA KODI/HAKUNA JIBU?
 
kwahiyo mkuu nini ushauri wako,.
 
Ushauri, usifurahi kwa mfereji wa maji kupita kando yako....siku ukifura mafuriko yake utakuwa MUHANGA wa kwanza...PELEKA TAARIFA KITENGO CHA DHARURA ama huduma kwa WATEJA...
 
ungekuwa ni wewe ungepeleka taarifa?
 
Acha hivyo hvyooo mkuu usijitie kiherehere kununua bando Lao utaharibu kila kitu
 
kaka maisha yenyewe magumu siwezi hangaika nao...kama hii ndo dhambi pekee acha iwe.
 
Back
Top Bottom