Jamani hii shule iko wapi?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
53,015
Reaction score
104,482
CSEE 2017 EXAMINATION RESULTS

S2764 NYEBURU SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0; DIV-II = 1; DIV-III = 1; DIV-IV = 61; DIV-0 = 129

Bado wazazi wanawaweka watoto hapo? Ndipo unapoona kuwa watanzania ni watu wa ajabu!
 
Wizara ya elimu iifunge tuu hiyo shule. Hakuna namna
 
CSEE 2017 EXAMINATION RESULTS

S2764 NYEBURU SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0; DIV-II = 1; DIV-III = 1; DIV-IV = 61; DIV-0 = 129

Bado wazazi wanawaweka watoto hapo? Ndipo unapoona kuwa watanzania ni watu wa ajabu!
Bashite akimaliza kujenga ofisi za Walimu, walimu watachapa kazi na kuongeza ufaulu wa hiyo shule.
 
CSEE 2017 EXAMINATION RESULTS

S2764 NYEBURU SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0; DIV-II = 1; DIV-III = 1; DIV-IV = 61; DIV-0 = 129

Bado wazazi wanawaweka watoto hapo? Ndipo unapoona kuwa watanzania ni watu wa ajabu!
Njia ya Chanika
 
Huko Chanika mafunzo ya maana mtoto apitie mkolenikwanza, hata akipata div 0 baada ya hapo poa tu.
 
Ile shule kila mwanafunzi anajifanya mwanamuziki wa bongo fleva ama video vixen. Ukienda pale mchana, utawaona wanapiga makopo na kuiga nyimbo za fleva na wasichana wanakata mauno yasiyoendana na beats sawa na mavideo vixen wa kibongo kina Amber Lulu na Gigy Money. Hii shule ifungwe tu.
 
Shule za kata dar ni shida tuuuu
 
sihiyo tu karibu shule nyingi za kata zina zero,afadhali hata hiyo ina ka two moja.kuna shule ambazo hazina hata three moja ni iv na zero
 
Sirikali imepiga marufuku michango kutoka kwa wazazi,kuchangia Maendeleo ya shule, unategemea nini?
 
Hapo hao ndo wapo mjin wanajifanya matoz balaaa. Kumbe hoooovyo
 
Hapo hao ndo wapo mjin wanajifanya matoz balaaa. Kumbe hoooovyo
 
Mungu hakunyimi vyote cha ajabu hawa waliofeli ndio matajiri na viongozi wa kesho
 
CSEE 2017 EXAMINATION RESULTS

S2764 NYEBURU SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0; DIV-II = 1; DIV-III = 1; DIV-IV = 61; DIV-0 = 129

Bado wazazi wanawaweka watoto hapo? Ndipo unapoona kuwa watanzania ni watu wa ajabu!
ipo kwa wale wanaume wachovu, aka Dar es Salaam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…